wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mrisho mpoto anataka tuvae viatu vyake kwenye msiba wa mkewe wakati yeye anatembea peku

    Ina maana sisi maumivu yetu sio yake ila ya kwake ni ya kwetu.
  2. JamiiForums Tanzania Raisi Wa Iran Ashutumiwa Kutaka Kumpindua Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei Kipindi Alipokwenda Chimbo Wakati Wa Vita Na Israel

    Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei. https://iranintl.com/en/202507149808
  3. JamiiForums Tanzania Mnatoa ujasiri wapi wakujirekodi wakati mpo kwenye tendo la ndoa

    Kuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji. Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?. Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?. Nini faida yake?,na wengine utakuta ni wake za watu ama wa ume za watu wakifanya hivyo kupitia simu zao...
  4. JamiiForums Tanzania Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

    So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia]. Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia. Hakuna namna ingine ya kuweza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakati EU na America wakijiandaa kuitenga serikali ya Samia, Watanzania tusiwe nyuma, ni wakati wa kumsusia kila kitu abaki peke yake!

    Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata Wana CCM wanaokwenda kinyume naye wanavyoshughurukiwa, mtu mmoja mmoja na hata kufungwa kwa nyumba...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania CCM tumetengeneza wakati hatari kwa chama chetu

    Tunajaribu kugombana na: 1.wasukuma kupitia kwa askofu Gwajima na Mpina .kabila hili ni hatari , umoja wao na kwa wingi wao.na sasa amekuja POLEPOLE tunaanza kumjibu kwa kejeli ? hapa tunakosea .afadhali kunyamazi kuliko kuongea . 2.Taasisi za dini kupitia Askofu GWAJIMA na KKAM ,na TEC ...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

    https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf- Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi unapoishi wanawajibika kwa wakati au maneno mengi tu?

    Katika hali kama hizi ambapo miundombinu huharibika kutokana na sababu mbalimbali na kusababisha Wananchi kuingia kwenye mateso makubwa wanapokosa huduma za msingi kwa muda mrefu. Hali hiyo huhitaji maamuzi ya haraka ya kurekebisha miundombinu bila kusubiri msukumo kutoka ngazi za juu, lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Prof J: Sidhani kama maua uliyopewa yanatosha. Ulikuwa mbele ya wakati

    Ukiachana na era ya kina KBC, Sugu before 1998 lakini era zingine za muziki wa Bongo nimefanikiwa kuziskiliza na kuishi nyakati hizo vizuri saana. Kama kuna msanii aliyeweza kuishape rap ya Bongo basi ni Prof J. Huyu jamaa aliishi mbele ya muda. Ongelea chochote kwenye rap ambacho Prof...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka

    Wakuu, ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya ======= Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.
  11. JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuzisaidia timu zao wafanye hivyo sasa wakati wa usajiri, sio wakati wa mechi.

    Wakati wa kusajiri wachezaji umefika, ni sasa. Kama yupo mfadhili, kiongozi, mwanachama, shabiki, mchambuzi, mwamuzi, mchungaji, sheikh au mganga wa jadi anataka kuisadia timu yake kupata matokeo msimu ujao afanye hivyo sasa wakati dirisha la usajili liko wazi. Changia fedha, mawazo, maoni...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

    Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani . Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata . Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
  13. JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa. Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa. Pia Katibu Mkuu kiongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Wasira: Ashauri wawekezaji wadogo, wakati na wakubwa wote watazamwe sawa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa wawekezaji wote wakiwemo wakubwa, wa kati na wa chini ili kuongeza kazi ya kukuza uchumi. Wasira...
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

    Wajumbe hamjambo. Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6 Kapata as follows Gs - E Phy - S Chem - E Bio - D B/math - F Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni...
  16. JamiiForums Tanzania Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi jinsi zinavyotumaliza kiroho na kuchafua yota zetu huku tukipata mikosi.

    Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na hujulikana nakuonekana kwa wenye ujuzi. Mtu kwenda kwa mtaalam na kuchanjwa chale ni ishara ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna wakati JF ilikuwa runned na vijana wa 35+ na 40s ila nyakati zimebadirika, vijana graduates na 20s ndio wanakimbiza usukani na maajabu ni mengi

    Nyuzi sensible unakutana na comments za kumshushua jamaa kuwa anajifanya genius 🤣🤣 Ila zile nyingine sasa, hadi yanaundwa magroup ndani comments kuendeleza umbea. Anyway kila kitu kina wakati wake, maisha yaendeleee
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Masheikh wengi wanatetea Amani,badala ya Haki?j wakati Mtu Muhamad S.A.W ilibidi kuitafuta Haki kwa upanga?

    Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
  19. JamiiForums Tanzania Simba wasiwasahau Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii wakati wa kufanya usajiri wao dirisha kubwa

    Wakati wanaposajili wasisahau ile nafasi ya pili kwenye ligi ya NBC waliipataje. Wasije wakasahau kuwa walikuwa na timu mbovu iliyosaidiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwa msaada wa waamuzi. Wasithubutu kusahau mchango wa cepha Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii. Pia wawashukuru Kidao...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

    Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu. Inasemekana Baadae Saa 8...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…