wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    1: Rambo (1, 2, 3) 2: Predator 3: Commando 4: Sarafina 5: Neria 6: Blood sport 7: Enter the dragon 8: Drunken master 9: Rocky 10: Tai chi master 11: Lion king 12: Titanic 13: Anaconda 14: Coming to america 15: Blade 16: Friday 17: Scarface 18: Terminator (1, 2) 19: Deadly prey...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Waafrika tusimamie ukweli kati ya Waafrika wanaofuata uislam/ukristo na wasiofuata ni wapi walio sahihi na wakweli?

    Habarini, Tusimamie ukweli kutoka moyoni katika hili. Asanteni!!
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

    Baba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM Chanzo: Kitenge updates
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mnamtumia Mungu kuhalalisha msemacho wakati nyie ndo wadhambi wakubwa

    Bahati mbaya Mungu haonekani face to face mana angemtandika mtu kibao. Hivi mnakumbuka kipindi cha jpm ndo kiliongoza kwa mauaji na kuteka watu na kuwafurusha wapinzani exile kama akina lisu na lema. Msesahau hilo. Mnakumbuka kuwa ndo kipindi wafanyabiashara walifunga maduka kariakoo na...
  5. JamiiForums Tanzania Wagombea kugawa hela mbona inachukuliwa kawaida wakati NI rushwa ile

    Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu
  6. JamiiForums Tanzania Kama kijana unaejitafuta na unahisi umefikia wakati wa kuoa, hizi hapa ni aina za wanawake wetu Tanzania

    WANAOPENDA SANA MAHABA Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wananchi wa Butiama wamzomea Jumanne Sagini wakati anaomba kura za maoni. Hawataki hata kumsikia

    Wakuu, Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
  8. JamiiForums Tanzania Myahudi au mwanamke au mbwa akipita karibu na muislamu wakati wa maombi, hayo maombi yatakatizwa

    Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma Mohamad aliagiza mbwa weusi wauawe. Book 2, Number 0704: Narrated Abdullah ibn Abbas: Ikrimah...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
  10. JamiiForums Tanzania Fanya zoezi hili kama unajihisi una tatizo la kumwaga haraka wakati wa tendo

    Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:- Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya kuchuchumaa kisha wakati wa kumwaga mkojo usiutoe moja kwa moja hata kama umekubana kiasi gani fanya...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yawezekana kuna mstaafu anajilaumu kwanini alitoka kwa mujibu wa katiba wakati kumbe angeweza kubakia kinyume na katiba na kukawa shwari

    Nimewaza tu, huenda anajilaumu kwa kuwa alihofia kisicho hofiwa.
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Msemaji wa Polisi David Misime: Hatutawavumilia waliojipanga kuvuruga amani wakati wa uchaguzi mkuu 2025

    Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime, amesema jeshi hilo limekuwa na utaratibu wa kujiweka tayari kila Uchaguzi Mkuu unapokaribia, huku likiwajengea uwezo askari wake kuhakikisha nchi inabaki salama. DCP Misime ameyasema hayo leo Julai 30, 2025, jijini Dodoma, wakati wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kukumbatiwa wakati wa kulala ni miongoni mwa raha wanazokosa wanaume

    Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala. Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so msiogope kukumbatiwa wakati wa kulala na haiondoi uwanaume.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

    Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya...
  15. JamiiForums Tanzania NADHARIA Bata huendelea kuota manyoya mengine wakati akinyonyolewa

    Wakuu naomba kufahamu ukweli kuhusu ili. Ama ni imani tu tulionayo kutokana na kwamba bata huwa na manyoya mengi sana.
  16. JamiiForums Tanzania Mfuasi wa CHADEMA ni Aibu kubwa kujadili MAJINA ya Wagombea wakati huu wa OPARESHENI ya kudai REFORM

    1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama. 2.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatutembelei ipasavyo akaunti rasmi za chama katika mitandao ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nini kimewafanya Simba kukubali mkataba wa Bilioni 20 wakati wadhamini waliopita walikuwa wanatoa Bilioni 26?

    Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26? Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
  18. JamiiForums Tanzania Msemaji wa timu anaropoka kuhusu hela ya mboga Bilioni 2, wakati timu ya Pyramids imesajili mchezaji wa Bilioni 8.3

    Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili. Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna wakati utafika Wakristo wafia dini wataitelekeza Israeli

    Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu. Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Wewe unayenihoji mie sikusema wakati wa awamu ya 5, wewe ulisema awamu ipi?

    Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi? Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…