wakamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wake Heche na wengine wanne wakamatwa na Polisi usiku huu

    Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime. Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara watatu wakamatwa na laini za simu 94 wakituhumiwa kufanya utapeli Iringa

    Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha na wenzake wawili wakiwa na laini 94 za mitandao mbalimbali ya simu wakizitumia kujipatia fedha kwa njia ya Udanganyifu. Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari Kamanda wa Polisi Mkoa...
  5. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 7 wa mauaji ya Mtoto aliyedaiwa kuiba Parachichi wakamatwa

    Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa mahojiano na mara baada ya taratibu kukamilika watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji...
  6. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 10 wa uhalifu wakamatwa Kibaha Pwani

    Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU yakamata wajumbe wa UWT kwa madai ya rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo wakigawana rushwa katika mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM huku taasisi hiyo ikiendelea na uchunguzi...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa wakijaribu kusafirisha madawa ya kulevya kama wanawake wa kiarabu

    Wanaigeria watatu wakamatwa nchini Algeria wakijaribu kupanda ndege kuelekea Dubai kusafirisha madawa ya kulevya waliomeza tumboni mwao huku wamevalia kama na kupakwa rangi ya muonekano wa wanawake wa kiarabu.
  10. JamiiForums Tanzania Hawa matapeli wa "Tuma kwa namba hii" wameanza kushughulikiwa. 21 wakamatwa kwa utapeli wa mtandao Morogoro

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata jumla ya watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na wizi na utapeli wa kimtandao unaojulikana kwa jina la “Halo Halo”, kufuatia operesheni maalum iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11, 2025. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa Los Angeles wakamatwa kwa Tuhuma za Kudanganya Wanawake wabeba mimba kwa niaba, Watoto 21 wachukuliwa na Serikali

    Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za kuwadanganya wanawake wabeba mimba kwa niaba (surrogate mothers) kutoka maeneo mbalimbali nchini Watoto...
  12. JamiiForums Tanzania Watu 15 wakamatwa Uganda kwa kuharibu mabango ya kampeni ya rais

    Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais Yoweri Museveni, kwa mujibu wa ripoti ya tovuti ya kibinafsi ya Chimp. Polisi wanasema 15 hao waliharibu mabango katika mji mkuu wa Kampala siku chache kabla ya...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu watatu wamekamatwa baada ya Rais William Ruto kurushiwa kiatu katika Kaunti ya Migori

    Takriban watu watatu wamekamatwa kufuatia tukio la kutupwa kiatu kuelekea kwa Rais William Ruto katika eneo la Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori. Soma Pia: VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu usoni akihutubia Wananchi wa Kehancha Tukio hilo lilitokea Jumapili jioni wakati Rais Ruto alikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waandishi wa Habari wazuiwa kuingia Mahakama ya Kisutu, wengine wakamatwa, leo Aprili 24, 2025

    Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025. Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa ACT Wazalendo wakamatwa kwa kufanya fujo kwenye Vituo vya Uandikishaji Zanzibar

    Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Dar: Wafanyabiashara wawili wa bucha wakamatwa kwa kuchezesha mizani Mitaa ya Mbezi - Dar

    Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kinondoni Dar es Salaam wamekamata Wafanyabiashara wawili waliokutwa na kosa la kuuza bidhaa ya nyama kwa kutumia mizani yenye kupunja uhalali wa vipimo. Akibainisha hayo Machi 1, 2025, Meneja wa Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kinondoni, Lilian Mwombeki amesema wamefanya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Burundi yaimarisha Operesheni Usalama, Wageni Wasio Na Vitambulisho Wakamatwa

    17 February 2025 Bujumbura, Burundi https://m.youtube.com/watch?v=WQg06wGKXV0 Jeshi la polisi laimarisha usalama, na kuendesha operesheni kukamata wageni wasio na vitambulisho Wakati wengine wakisema katika mitandao wanavumisha ni Banyamulenge ndiyo wwanakamatwa, Waziri wa Mambo ya Ndani...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanaodhani kuwa ni Yanga wakamatwa na ushirikina huko KMC Complex

    Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC. Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
  19. JamiiForums Tanzania Wawili wakamatwa kuhusiana na taarifa ya raia wa kigeni kutekwa na kupigwa Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kunusurika kuuawa, kutekwa na kupigwa nyundo kichwani kwa raia mmoja wa kigeni aitwaye Suzan Mary Shawe (75) raia wa Afrika Kusini. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa...
  20. JamiiForums Tanzania Wahalifu waliowatumbukiza Wazazi kwenye shimo la choo kisha kuondoka na mtoto wakamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo, kabla ya watuhumiwa kuondoka na mtoto huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…