Maafisa wa Upelelezi wa Jinai (DCI) wamewakamata watu watatu wanaohusishwa na mauaji ya aliyekuwa Diwani wa Chesikaki, Nathan Masai Wasama, huko Cheptais, Kaunti ya Bungoma.
Wasama, ambaye pia alikuwa mfanyabiashara na alikuwa ametangaza nia ya kuwania kiti cha ubunge cha Mt Elgon mwaka 2027...