wakamata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Polisi yakamata watuhumiwa tisa wa ujambazi Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa tisa (9) kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi. Tukio hilo limetokea Tarehe 22/07/2022 majira ya saa 9:40 usiku maeneo ya kiwanda cha SHERI Automotive Germany Barabara ya Mbozi Keko Wilaya ya Temeke. Jeshi...
  2. John Haramba

    Wanajeshi wa Urusi wakamata mji muhimu wa bandari Ukraine

    Wanajeshi wa Urusi wameukamata mji mmoja muhimu wa bandari wa Ukraine na kuuzingira mwingine kama sehemu ya juhudi za kuitenganisha nchi hiyo na Pwani yake. Jeshi la Urusi limesema limechukua udhibiti wa Kherson na maafisa wa Ukraine katika eneo hilo wamethibitisha kuwa wanajeshi wamechukua...
  3. John Haramba

    Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa Madini Wilaya ya Chunya limefanikiwa kukamata madini aina ya dhahabu yenye thamani zaidi ya Tsh milioni mia arobaini (140). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, ameeleza kuwa Februari 9, 2022 majira ya saa 19:30 usiku katika...
  4. Petro E. Mselewa

    Paka wakamata panya wanauzwa

    Paka wenye umri wa miezi miwili ambao ni wa asili na wakamata panya mahiri wanauzwa. Wako watatu. Kila mmoja ni shilingi elfu arobaini. Wanapatikana Survey hapa Dar es Salaam. Wale wote mnaokabiliwa na tatizo la panya majumbani mwenu hapa Dar na kwingineko wahini hii fursa ya kumaliza tatizo...
  5. Roving Journalist

    Dar: Polisi Wakamata Watuhumiwa 161 wanaojihusisha na wizi wa vifaa vya magari, pikipiki na uvunjaji

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZ TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 161 WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI, PIKIPIKI NA UVUNJAJI. Ndugu Wana habari, Mnamo tarehe 20.04.2021 na 24.04.2021 nilitoa taarifa kwa umma za...
Back
Top Bottom