Uganda ni typical banana Republic (Jamuhuri ya ndizi) isiyo na utawala wa Sheria (due process) inayoongozwa na familia moja baba akiwa Rais, mama waziri na mtoto wao mkuu wa majeshi mropokaji hovyo na kujiamulia mambo anavyoona inamfaa.
Namibia ni nchi ya watu milioni 3, demokrasia changa...