wairan

The Wairau Affray of 17 June 1843, also called the Wairau Massacre and the Wairau Incident, was the first serious clash of arms between British settlers and Māori in New Zealand after the signing of the Treaty of Waitangi and the only one to take place in the South Island. The incident was sparked when a magistrate and a representative of the New Zealand Company, who held a deed to land in the Wairau Valley in Marlborough in the north of the South Island, led a group of European settlers to attempt to arrest Ngāti Toa chiefs Te Rauparaha and Te Rangihaeata. Fighting broke out and 22 British settlers were killed, nine after their surrender. Four Māori were killed, including Te Rongo, who was Te Rangihaeata's wife.
The incident heightened fears among settlers of an armed Māori insurrection. It created the first major challenge for Governor Robert FitzRoy, who took up his posting in New Zealand six months later. FitzRoy investigated the incident and exonerated Te Rauparaha and Te Rangihaeata, for which he was strongly criticised by settlers and the New Zealand Company. In 1944 a land claims commission investigation determined that the Wairau Valley had not been legally sold. The government was to pay compensation to the Rangitāne iwi, determined to be the original owners (until the early 1830s, when Te Rauparaha had driven them from the area).

View More On Wikipedia.org
  1. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Israel Inatisha, Inaogopesha. Wairan Watoa Ya Moyoni Kwa Nini Israel Inaogopwa Sana na Iran

    Baada ya Watu wengi kuhoji uoga wa Iran kuigusa Israel, wairan walipo ndani ya Iran wale ambao hawataki tawala ya Hawa mamullah wametoa ya moyoni. Wanasema Marekani hata ashambulie vipi bado hawaoni kama vita imerudi, wanaamini na wanatamani Israel iingie kati sababu Israel huwa hawana utani...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wairan wenyewe ni mashabiki wa US na Israel ila wewe mwenzangu wa daraja mbili unalaani vikali matendo ya mabwenyenye😁😁

    Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi? Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa maana wana wakilisha unyama ulionao ndani yako na unyama wa itikadi mnayo share nao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa wairan

    Tujifunze kwa wairan kama taifa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kijue kikosi cha BASIJ: Kwa nini kuuawa kwa kiongozi wao ni pigo kubwa, huku kikikabiliwa na mashambulizi makali ya droni kutoka angani na risasi mita

    Basij ni wanamgambo wa Iran wanaofanya kazi chini ya mwavuli wa jeshi kuu la IRGC, (Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran). Hata hivyo, tofauti na jeshi hilo rasmi lenye muundo wa kijeshi na majukumu ya kimkakati, wao hujikita zaidi katika kuhakikisha utii wa utawala katika ngazi za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa tuwaombee dua wairan na wanaharakati wa Tanzania

    Leo ijumaa tuombee dua sana watu wa Iran walinde nchi yao iliovamiwa na maadui. Wanaharakati wa Tanzania pia tuwaombee dua macho yao yafunguke ili wajue maana ya haki za binaadam. Kwanini wanashindwa kulaani raia wa Isreal na marekani wanaonyanyswa kutuma picha za matukio ya vita nchini kwao?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wairani walioko Australia wazuia basi la timu ya wanawake ya Iran baada ya wachezaji kutoa ishara ya kuomba msaada wakihofia adhabu kali wakirudi Iran

    Basi lililokuwa likibeba timu ya wanawake ya soka ya Iran lilipokuwa linatoka, hali ghafla ikageuka kuwa ya kutisha pale wachezaji walipoanza kutoa ishara ya kuomba msaada wakiwa ndani ya basi. Yote haya yalianza baada ya kukataa kuimba wimbo wa taifa katika mchezo wao wa kwanza wa kimataifa...
Back
Top Bottom