wahudumu wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama yaamuru wahudumu wa Afya kusitisha mgomo

    Mahakama ya Rufaa ya Kazi Nchini humo imeamuru Wahudumu wa afya kurejea kazini na kusitisha mgomo ulioathiri utoaji na upatikanaji wa huduma katika baadhi ya hospitali kubwa. Tangu wiki iliyopita, Wanachama wa Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi wa #Elimu, #Afya na Washirika (NEHAWU) wamegoma...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nchi 5 za Afrika zaweka mkakati wa kutoa mafunzo na kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Mawaziri wa Afya wa nchi 5 ikiwemo Tanzania, Rwanda, Sierra Leon, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekutana na kuweka mkakati wa kutoa mafunzo rasmi angalau ya mwaka mmoja, hatimaye kuajiri Wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa ajili ya kuimarisha Huduma za Afya ya Msingi. Haya...
  3. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Afya (manesi) huu mtindo ulienda wapi?

    Hivyo vikofia mbona hamvai? Kwanini? Nani aliwakataza?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Makusudi wanayofanya wahudumu wa afya kutoa dawa kwa watu wanaotumia bima za afya

    Kumekuwa na hii tabia ambayo wahudumu wa afya wanaifanya sana kwa wagonjwa wanaotumia bima za afya. Unakuta mtu anaumwa ugonjwa fulani anaandikiwa dawa ambayo kwa makusudi kabisa wanajua dawa husika haipo kwenye orodha ya dawa kwenye fungu la bima alilopo mgonjwa husika na ni ngumu dawa hiyo...
  5. Gama

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa afya wa ziada waitwa kumhudumia Putin baada ya afya yake kudorora

    Tarehe 22 julai rais putin alilalamika kupata kichefuchefu kisicho cha kawaida hali iliyosababisha matabibu zaidi kuitwa ili kumhudumia. Taarifa hizo zilitolewa katika mtandao maarufu wa telegram katika chaneel ya SVR inayomilikuwa na Luteni Generali wa zamani katika vikosi vya ujasusi vya...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  7. hata mimi

    JamiiForums Tanzania Kuna wahudumu wa afya baadhi ya sehemu za kutolea huduma za afya wanakwepa majukumu yao

    Habari, Nimezoea kuona wahudumu wakichukiwa sana wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kila siku katika zahanati vituo vya afya na hospitali mbalimbali hapa nchini Nitatoa mifano hapa A. Wakati wa kuona wagonjwa muda ukiisha mnafukuzwa na kwa wale vichwa ngumu ndo wanafukuzwa kama paka mwizi...
Back
Top Bottom