wahitimu wa shahada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania UDSM yashika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki na 4 Afrika kwa wahitimu wake kupata ajira

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeitoa Tanzania kimasomaso baada ya kuibuka kidedea kwa kushika nafasi ya kwanza Tanzania na Afrika Mashariki na cha nne Afrika, kwenye soko la ajira. Akizungumza leo Julai 15, 2026 na waandishi wa habari chuoni hapo, Naibu Makamu Mkuu wa UDSM-Utafiti...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jamii inakuwa na mategemeo makubwa sana kwa kijana mwenye digrii kiasi cha kumfanya abague baadhi ya kazi

    Habari, Je, hii ni sawa kwamba Baba Yako ameuza mchicha na kuni na wewe graduate uuze maji na kuni? Moja ya changamoto ya jamii nyingi zinapelekea vijana wengi kuwa na msongo Kwa sababu Kila anachofanya msomi unasikia, eti mtu ana degree anauza mchicha? Mtu ana degree anafanya hivi? Guys...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

    Wana jamvi kwema, Leo nimeona niwajulie hali hawa ndugu zetu wenye BSc na BA na degree nyinginezo, vipi maisha yanaendaje baada ya kuhudhurishwa na kutunukiwa Shahada yako. Vipi mategemeo uliyo kuwa nayo, yame kuwa sawa na uhalisia huko duniani? Je, kati ya BSc na BA ipi imekusaidia angalau...
  4. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kusoma Chuo Kikuu uko wapi sasa?

    Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Back
Top Bottom