Miaka ya nyuma niliwahi kukutana na Naibu Waziri wa Fedha huko Dodoma kwenye kongamano moja la vijana kuhusu masuala ya fedha. Nilipata wasaha wa kuzungumza naye mawili matatu kuhusu mambo ambayo yeye yapo kwenye wizara yake.
Katika jambo ambalo nilipata wasiwasi ni kuhusu mfumo wa kodi, Mfano...