Waha (Walloon: Wahå) is a village of Wallonia and a district of the municipality of Marche-en-Famenne, located in the province of Luxembourg, Belgium.
The village of Marloie is a part of the district.
..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga.
..sikiliza mahojiano yake hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
HISTORIA YA KIGOMA UJIJI NA ASILI YA KABILA LA WAHA
Wakati miji mingine ikipata majina kutokana na ujio wa wageni, kuna baadhi ya miji ilipata majina yake kutokana na Waafrika wenyewe. Na kutaja majina kutokana na wenyeji kulitegemea sana watu, hasa wale waliokuwa maarufu kwenye jami. Na ile...
https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h
Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn
Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
Hapo zamani wasukuma wote walianzia futi 5 na inch 8 sio mwanamke sio mwanaume
Tukija kwa ndugu zetu waha,kule kuna vibinti vina futi 4 na point,hata kuku wa kigomani wadogo wadogo na wepesi, ng'ombe wa kigoma halikadharika, ni wadogo wadogo, mahindi ya kigoma ukikoboa sembe yanakupa uzito...
Kwa Jinsi mambo yalivyo, naimani ipo siku waha, wataanza kukopesha kila kitu
Maana Hawa jamaa wameshika hatamu uku mtaani kwa Biashara ya kukopesha.
Malipo Buku kwa siku.....
Haya yameandikwa katika kitabu Zamani Mpaka Siku Hizi. Inadaiwa Wahima(Watutsi ni Wahima walioelekea magharibi kwenye vilima vilivyoitwa Tutsi) Walipotoka kaskazini kwenye karne ya 14 walikuwa na nguvu na maarifa mengi. Hilo liliwafanya kila walikopita, kuanzia Uganda hadi Kusini Mashariki ya...
Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli.
Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
Wakuu!
Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo?
=====================
Wabunge watatu majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Shabiby waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya...
Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni.
Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua kiwanja eneo lisilopimwa. Yupo tayari ameseme ana viwanja hata kumi ila vyote hakuna chenye sqm 1000...
Salaam
Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni.
Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali...
Habarini za jioni waumini
Mtaani kuna wale jamaa wanakopesha bidhaa hasa kwa wanawake au wake za watu, hawatumii nguvu kudai na wakiambiwa hela hakuna wanaelewa.
Niliona mmoja akiombwa kusamehe deni lililo baki na mke wa mtu, akasema tutaongea vizuri kwenye simu, tafsiri nyepesi ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.