wagombea wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Foffana

    PostGE2025 Uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa jiji

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na...
  2. Kingsmann

    GE2025 Kondo Bungo: Mimi mgombea ubunge ACT nimejionea maajabu baada ya kumkuta Msimamizi anaweka tiki kwa wagombea wa CCM jimbo la Chamazi

    Hili ni Jimbo la Chamazi Dar es Salaam, mgombea ubunge kupitia chama ACT alipigwa duwaa baada ya kumkuta msimamizi wa uchaguzi katika kituo mojawapo akiwa anatiki kwa wagombea wa CCM.
  3. figganigga

    GE2025 Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM

    Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM. Kwani Sheria inasema? Je, nani atawanya nini?
  4. Just Pray

    GE2025 Cecilia Paresso: Wagombea wa CCM ndiyo wanatambua thamani ya utu na maendeleo ya Tanzania

    Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea. Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  5. and 998 others

    REDETI tupeni Tafiti za kupaisha Wagombea wa CCM

    Mmesahau wajibu wenu wa kusifu Wagombea wetu CCM kipindi cha Uchaguzi kwa asilimia (%). Mnakwama wapi?
  6. peno hasegawa

    Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, azuia barua za Uteuzi wa Wagombea wa CCM , Udiwani Kata na Viti Maalum kwa Majimbo 8,isipokuwa Moshi Mjini

    Katika kikao cha hivi karibuni cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, katibu wa mkoa, Mercy, alikabiliwa na hali ya kushangaza na kusikitisha. Kikao hicho kilikuwa na jukumu la kukutana na kupitisha majina ya wagombea wa udiwani wa kata na viti maalum kwa kata mbalimbali za mkoa huo...
  7. Waufukweni

    GE2025 Askofu Gwajima: Kiwango cha kupendwa kwa CCM kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya Tanzania

    Askofu Gwajima amesema, "Kiwango cha kupendwa kwa Wagombea wa CCM kiko chini" Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  8. Waufukweni

    GE2025 Bashe awashukia Wagombea wa CCM waliopondea Sera za Serikali kwenye Kura za Maoni: Ni hatari sana!

    Waziri wa Kili Hussein Bashe, awashukia Wagombea wa CCM waliopondea Sera za Serikali kwenye Kura za Maoni, asema ni hatari sana!
  9. McLaren

    GE2025 Ratiba rasmi ya uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani

    Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi za Ubunge, Udiwani, Uwakilishi na Viti Maalum kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. 28/06 – 02/07/2025: Kuchukua na kurejesha fomu za kugombea. 04 – 11/07/2025: Vikao vya awali vya Kamati za Siasa za...
  10. MamaSamia2025

    GE2025 CCM iruhusu CHADEMA kutoa mapendekezo yao kuhusu wagombea wa CCM wanaowataka

    Kutokana na wanaCHADEMA kuwa mstari wa mbele kupinga na kukosoa mambo mbalimbali yanayoendelea wakati huu wa uchaguzi ninashauri chama chetu CCM kiwape hawa ndugu zetu nafasi maalum ya kupendekeza wagombea wanaowataka. Imefika sehemu viongozi waandamizi wa CHADEMA wamejiunga na Polepole kusema...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wananchi Arusha wafunguka baada ya majina ya wagombea wa CCM kurudi

    Baadhi ya wanachi Arusha wametoa maoni yao baada ya CCM kutangaza majina ya Wabunge waliowateua na kuwatema na baadae wajumbe watakaochagua mgombea mmoja ambaye atasimama kukiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu. Katika Jimbo la Arusha Mjini...
  12. R

    GE2025 Hamis Mbeto: Ukitoa Rushwa Tunakukata kwenye uteuzi wa wagombea Ubunge na Udiwani

    UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea wa chama cha mapinduzi wanavyo patikana katika mchujo wa kura za maoni na kusisitiza kuwa wagombea...
  13. Poppy Hatonn

    Kama unataka kuongeza wagombea ruhusu vikao vya chini vikuletee majina zaidi ya matatu

    Kwa nini Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ndiyo iamue Kamati Kuu inataka kuleta udikteta. Kikao cha chini kiseme ,Hawa watu kumi wanataka kuwa Wabunge.
  14. Stuxnet

    GE2025 Hata kama walikiuka kanuni Januari 19, 2025 bado Rais Samia ndiye bora kuliko wote wanaotamani kuwa wagombea wa CCM

    Japo wengi wanashabikia kwa kutofahamu, lakini kazi aliyoifanya Samia ni kubwa sana katika nyannja zote. Hata wapinzani wanaponda sana utawala wa Samia lakini katika waliopo CCM sasa hivi pengine Samia ndiye bora kuliko wote Haya ni mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan (Machi 2021 – Julai 25...
  15. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Polepole amewataka wagombea wa CCM kudumisha uvumilivu

  16. Yoda

    GE2025 Sielewi watu wanaoshangalia na kusheherekea kukatwa kwa majina ya baadhi ya wagombea ubunge wa CCM wakati huu

    Kuna nini cha kushangalia kukatwa kwa wagombea ubunge wa CCM na kamati za wilaya au mikoa ? Hawa watu inawezekana wakaonekana wamepoteza sana lakini kumbuka hawa wengine watateuliwa nafasi za wakuu wa wilaya, mikoa, wakuregenzi wa halmashauri za wilaya, miji na majiji, wakurugenzi wa mashirika...
  17. kavulata

    Kwanini watu wanahoji uteuzi wa wagombea wa CCM?

    Mwl. Nyerere aliwahi kusema, "kama CCM ikimtangaza mgombea wake huyo ndiye atakaekuwa Rais". Hivyo alitaka wagombea wa CCM wajulikane mapema ili watu wapate muda wa kuwajua na kuwajadili kwa muda mrefu kabla ya kuteuliwa na kabla ya siku ya uchaguzi. CCM wamefanya hivyo alhamdulilah kwa wagombea...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jakaya Kikwete: Niwaambie kuwa mambo mazuri ya Bukombe yasingetokea kama msingemchagua Dkt. Biteko

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Bukombe kwa mwaka 2020-2025. Amebainisha kuwa miradi iliyotekelezwa na inayoendelea...
  19. Tajiri wa kinyankole

    PreGE2025 CCM kuweni na huruma na wananchi wagombea wenu hawatoshi kupeperusha bendera ya chama

    Utawala wa CCM kwa sasa umekuwa mgumu kwa nchi wagombea waliopo wote mnawajuwa mmoja ana uraisi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wote mmeona aliyoyafanya katika kipindi chake na kinachoendelea watu wamepotea hovyohovyo tena bila kificho watu wamepaza sauti hamna kilichofanyika...
Back
Top Bottom