Kuna jirani nasikiaga ni mganga wa kienyeji, kila akienda huko ofisini kwake (Nadhani ni Manzese na Kariakoo) huwa anarudi na nyama za mbuzi, kondoo, kuku nk. (wanasema za wanyama alioletewa kwa ajili ya kafara na wateja wake) Siku zingine anagawa kwa jirani zake. Mganga mwenyewe bwana mdogo tu...