wafuasi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Ni uoga wa Oktoba 29, 2025 au nini kimebadilisha ukatili wa polisi kwa wafuasi wa CHADEMA Mahakamani?

    Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria. Lissu alikamatwa...
  2. Revocatus James Ngoja

    Barua ya wazi katika siku ya kuzaliwa ya CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia

    BARUA YA WAZI KATIKA SIKU YA KUZALIWA YA CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia, Leo, tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ninatumia fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa chama kwa...
  3. Kimbesa11

    Kama Taifa, hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote CHADEMA

    Chadema ni kikundi cha panyaroad yafaa kiondolewe sifa za kufanya shughuli za kisiasa nchini, ushahidi upo kwenye post zao mitandaoni kwa kweli mpaka unajiuliza hivi Hawa watu wanaakili kweli? Ni WA Tanzania kweli? Yafaa wadhibitiwe vikali. Kama Taifa Hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote chadema...
  4. Abraham Lincolnn

    Wafuasi wa CHADEMA mko wapi wakati huu viongozi wenu wakisulubiwa?

    Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno! Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na...
  5. Idugunde

    Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

    Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
  6. N

    GE2025 Lissu aomba Mahakama kuingilia suala la wafuasi wa Chadema kuzuiwa kuingia Mahakamani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Baada ya Majaji...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Jeshi la Polisi: Tumewadhibiti wafuasi wa CHADEMA walioleta fujo Mahakama Kuu Dar es salaam

    Polisi naona wanajidai wenyewe kwamba wamewadhibiti. Ila hawa jamaa Tarehe 15 Septemba, 2025 majira ya asubuhi eneo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati mashauri mbalimbali yakiendelea, lilijitokeza kundi la Wanachama wa CHADEMA baada ya ukumbi uliokuwa unatumiwa kwenye kesi ya Tundu...
  8. REJESHO HURU

    Wafuasi wa CHADEMA huu sio muda wa kuchukua video au picha ni muda wa jino kwa jino

    Mkiendelea na utaratibu wa kutafuta huruma ya vyombo vya habari nk nyote mtaishia kutiwa vilema wale askari wanambiwa uko nendeni mkapige yani piga kisawa sawa sawa ili waogope Sasa huu ni muda wa kujitoa sadaka kama umeamua kutoka nyumbani na kwenda barabarani basi aumua afe askari au mimi na...
  9. Kimbesa11

    Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

    Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali, Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni athari za mdudu ujinga, wanakesha wanaskiliza non busness press ambazo HAZINA return yyte, ni useless press. Nazidi kuwashangaa Hawa wafuasi wa CHADEMA...
  10. Kimbesa11

    Kwetu wafuasi wa Chadema wanaonekana ni wahuni ni vibaka, Sasa wanajificha hawataki wajulikane

    Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws). Tunashukru Mungu mpaka...
  11. M

    Tafakuri: Wafuasi wa CHADEMA waonyesha umoja na mshikamano msiba wa Kamanda George Mwingila. Japokuwa chama kipo kwenye kipindi kigumu

    Fikiria chama kinafungiwa kujihusisha na shughuli za kisiasa kisa tu kibaraka wa CCM ametumika kwenda mahamani.Kangaroo court. Mwenyekiti wa chama yupo jela kwa kesi ya maonevu ya kisiasa. Alafu kada aliyetunga wimbo kwa ajili ya chama anafariki kwa ajali akiwa safarini kwenda kuhudhuria kesi...
  12. Ritz

    GE2025 Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea

    Wanaukumbi. Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM. Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa...
  13. DR HAYA LAND

    Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
  14. MamaSamia2025

    Wafuasi wa CHADEMA hawana tofauti na waliomsifu na kumchagua Charles Taylor mwaka 1997 nchini Liberia

    "He killed my ma, he killed my pa, but I will vote for him.".... kwa tafsiri isiyo rasmi inamaanisha "Alimuua mama yangu, alimuua baba yangu, lakini nitampigia kura" Hiyo ni kauli maarufu ya wapiga kura wa Liberia hasa vijana waliokuwa wakimuunga mkono dikteta Charles Taylor mwaka 1997 kwenye...
  15. Kimbesa11

    Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

    CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine. Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA? Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata...
  16. Mto wa mbu

    Je maandamano ya wafuasi wa Chadema X Kwa Trump na Rubio yatakuwa na impacts Gani?

    Siwezi kupuuza nguvu ya social media. Maana juzi waziri mkuu wa mongolia amejiuzuru kutokana na nguvu ya social media. Chadema wametangaza kuwa 16/06/2025 kutakuwa na maandamano mtandaoni uko X. Kwamba raisi Trump ,Vance na Rubio wakipost chochote, wata comment, No reform no election. Lengo...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Mabomu ya Machozi yarindima Musoma kusambaratisha Wafuasi wa CHADEMA wakisindikiza msafara wa Heche

    Wakuu! Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma. Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa...
  18. kalisheshe

    Inawezekana damu zinazomwagika kwa wafuasi wa CHADEMA ikawa ni sadaka ya kukiimarisha chama hicho

    Katika historia ya harakati za kisiasa duniani, mara nyingi mabadiliko ya kweli yamekuwa yakipatikana kwa gharama kubwa, ikiwemo maisha ya wale wanaojitolea kwa ajili ya haki na demokrasia. Katika muktadha wa Tanzania, chama cha upinzani CHADEMA kimekuwa mstari wa mbele katika kupigania...
  19. kipara kipya

    Je mpaka muda huu Lissu ana amini wapo wananchi wa kukinuksha wafuasi wa chadema waingia mitini

    Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi... Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote...
  20. B

    Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
Back
Top Bottom