wafamasia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Munamuge

    Kliniki za Matibabu ya kibingwa wilayani kutokujumisha Wafamasia Bingwa na Wateknolojia Bingwa wa Maabara za Afya kwenye jopo, Haijakaa sawa

    Salaam, mimi nilie mdogo kati yenu nawasalimu. Kwanza kabisa napenda kutambua mchango mkubwa na matokeo chanya yatokanayo na kampeni ya huduma za kibingwa katika Hospitali za wilaya na baadhi ya Vituo vya Afya zinazoendelea nchini kote. Mwezi May mwaka huu, kampeni hizo nadhani zimeanza awamu...
  2. C

    Wafamasia kwa ngazi ya diploma na astashahada waliofanya mtihani wa leseni wahoji uhalisia wa matokeo yao

    Kwa miaka kadhaa matokeo ya wataalamu hawa wa dawa wamekuwa wakifanya vibaya sana katika mitihani ya leseni nadhani kuliko kada yoyote hapa nchini. Hata hivyo wengi wamekuwa wakihoji uhalali wa matokeo hayo kwani hawaamini idadi ya ufaulu kuwa ndogo kiasi hicho. Wengi wanaona ni mradi wa...
  3. P

    25/09/2024 wafamasia na majukumu yao

    Jamii waelewe Leo wafamasia upate tiba sahihi,kwenu wafamasia
  4. P

    Wafamasia kesho mna jambo lenu, kipi Cha kujivunia tiririkeni tunufaike kama jamii

    Wafamasia kesho ndo siku yenu kipi mnafurahia na kipi kinawaboa
  5. Roving Journalist

    Wafamasia waaswa kutojihusisha na Wizi wa Dawa hospitalini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Mohamed Janabi amewataka wafamasia kuzingatia uaminifu pamoja na weledi katika utendaji kazi wao wa kila siku. Prof. Janabi ameyasema hayo wakati wa hafla la kuwapongeza wafanyakazi bora wa robo ya nne iliyoandaliwa na Idara ya...
  6. Fundi Madirisha

    Wafamasia acheni kuwa kituko, simamieni taaluma

    Inashangaza kuona taaluma ambayo pengine ingetakiwa kua msaada kwa taifa letu lakini imegeuka kua ni kichaka cha vioja. Kuna mdau alikuja kulalamika humu siku moja ya kwamba Baraza la famasia na Chama cha wafamasia wamejikita kwenye kufungia maduka ya watu na kujiwekea ubinafsi wa wao pekee...
  7. M

    Inernship placings kwa wafamasia 2022/2023. Peaneni updates hapa!!

    Naona contro numbers kwa ajili ya kulipia ada ya internship zimeanza kutolewa. Ila ada yenyewe ni kali mno i.e 175,000/=. Waliopata control number na kulipia wameshaanza kuomba vituo. First come first serve! Ukichelewa unakuta kituo ulichokitaka kimeshajaa!! Changamkeni!!
  8. Prof Koboko

    Upotoshwaji unaoendelea kufanywa na baadhi ya Wafamasia kumpotosha Waziri wa Afya

    MAJIBU KWA MTU ANAYEJIITA JOSHUA GUYAHAMBI ANAVYOPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA KUHUSU ADDO NA USIMAMIZI WA MADUKA YA DAWA NCHINI Na Prof Patrick Kobono (MD, MMED, MPH, MBA, PhD in Human Anatomy) Wasalaam! Kwa kawaida hua sipendi kabisa kujibishana na wajinga wachache wanaopotosha umma ima kwa...
  9. Prof Koboko

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA. Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)  Salaam Mhe Waziri! Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za...
  10. C

    Hivi Wafamasia wana nini?

    Hawa jamaa ndio wanaosimamia maduka ya dawa maarufu kama Pharmacy. Jana nimeona wameungana na wanaharakati akina shangazi, kupinga agizo la mheshimiwa waziri Ummy, la kuondoa maduka ya dawa yaliyo karibu na Hospitali za umma kama inavyosema sheria yao wenyewe. Sheria au kanuni ziliweka umbali...
Back
Top Bottom