Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake unakadiriwa kufikia dola bilioni 5.8, akifuatiwa na Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ambaye anakadiriwa...