wachokonozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KEKO JUU

    Wachokonozi wapo wapi? Wamesahaulika?

    Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo walikamatwa na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao waliovamia nyumba ya Joseph Mrindoko walikuwa...
  2. Just Pray

    GE2025 Kesi ya wachokonozi yaahirishwa tena mpaka Agosti 19, 2025

    Kesi ya jinai inayowakabili wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la Wachokonozi, Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, imeahirishwa kwa mara nyingine tena katika Mahakama ya Wilaya ya Meru na sasa itasikilizwa Agosti 19, 2025 kwa ajili ya hoja za awali. Washitakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka mawili-...
  3. Parabolic

    ‘Wachokonozi’ wapandishwa kizimbani Arusha kwa ‘Makosa ya Kimtandao’

    Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko wanaojulikana kama “Wachokonozi” jana Juni 27, 2025 walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kushtakiwa kwa makosa mawili ya kuchapisha taarifa za uongo kinyume na kifungu namba 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cybercrimes Act) na kosa la pili...
  4. Carlos The Jackal

    Nchi inachezewa sana, Hivi kweli 'Kundi la Wachokonozi au Kijana wa Serikali ya Malawi, ni Tishio la Usalama wa Nchi mpaka Dola itumie nguvu?

    Naendelea kusimama na Gwajima, Kuna MTU 100% anatumia Dola kwa Faida yake ya Kisiasa . Hiii haiingii akilini, yaan Vijana wanaotumia tu Mitandao ya kijamii, kukosoa, kuelemisha , wanaonekana Et ni tishio la Nchi yaan Ni tishio la Nchi nzima?. Kwamba Dola ,Dola inatishika na Hawa Jamaa...
  5. MamaSamia2025

    Baada ya kupitia posts zao ninalipongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata WACHOKONOZI

    Hawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa wao kukamatwa na kufafanua vizuri mahakamani...
  6. B

    PreGE2025 Polisi: 'Wachokonozi' Jackson na Joseph wamekamatwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao

    Tutafika Oktoba tukiwa tumechoka sana! ==== WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO. Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ikieleza juu ya watu wawili kukamatwa na watu wasiojulikana huko katika...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Polisi Arusha: Ni kweli tunawashikilia Wachokonozi kwa makosa mbalimbali

    Baada ya kusambaa kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa vijana wawili wanaojulikana kama Wachokonozi, yaani Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo, wametekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha, taarifa mpya zimebainisha kuwa madai hayo si ya kweli. Soma Pia: Kundi la...
  8. Inside10

    PreGE2025 Kundi la “Wachokonozi” wamekamatwa na watu waliodai kuwa ni Askari Polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

    Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao waliovamia nyumba ya Joseph Mrindoko walikuwa...
  9. R

    Jamani, wale vijana wa Arusha (WACHOKONOZI) waliotekwa jana kuna habari za kupatikana kwao?

    Jamani wale vijana wa Arusha wamepatikana? MWenye habari zao atujuze PRELUDE: WAMEPATIKANA WAKO SALAMA POLISI AS WE SPEAK NOW, LABDA KAMA WATAKUWA WAMETESWA HUKO HUKO POLISI
  10. Parabolic

    TLS yaanza kuwasaka ‘Wachokonozi’ wanaodaiwa kuchukuliwa na waliojitambulisha kuwa Polisi

    Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kinafuatilia taarifa za kutoweka kwa Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la Wchokonozi. Vijana hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi leo Juni 20 na kupelekwa kituo cha polisi USA River wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha. Hata hivyo, Jeshi...
  11. comrade_kipepe

    Wachokonozi tv wana nondo sana

    Kwakua wakubwa hawataki watu wenye akili hawa jamaa wanaweza wakakutwa na kitu kizito.
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    WACHOKONOZI: Watanzania wasusie mechi zote za Taifa Stars

    Kupitia video yao ya leo vijana hawa wametoa wito kwa watanzania kususia mechi zote za timu ya taifa maana TFF inawachezea akili. Akikazia zaidi, mchokonozi mmoja anayefahamika kama Joseph Mrindoko amesema kuwa viongozi wa TFF ni Wasen.g.e. Anzia dakika ya 5:20. Ni upi mtazamo wako...
  13. LIKUD

    " Wazazi hiyo pesa ya karo bora umnunulie mwanao mashamba" ... Joseph Mrindoko wa Wachokonozi

    Kwenye video jamaa kafunguka vitu vingi Sana muhimu. Mwenye kusikia na asikie na mwenye kujifanya kipofu aendelee kujifanya kipofu hivyo. Video Yake inapatikana You Tube. Kwenye video jamaa katema madini mengi Sana. Baadhi ya madini aliyo Tema ni pamoja na : 👇👇👇👇 1. Masikini hutengeneza...
  14. LIKUD

    Joseph Mrindoko wa wachokonozi azichana vibaya shule za English Medium

    Amezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo. Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube. Moja kati ya nukuu yake anasema " Waafrika tunataka kuwa kama wazungu. Wazungu hawataki kuwa...
  15. Vichekesho

    Wachokonozi watuma Ujumbe kwa Rais Samia na Jeshi la Polisi

    Rais Samia, Jeshi la polisi pamoja na watekaji kuna ujumbe wenu hapa toka kwa WACHOKONOZI. https://youtu.be/51JvA4Kv3nY?si=-ci71dg-gP5igOcr
  16. K

    Wachokonozi walindwe ili wanufaikaji wa makanisa na misikiti wasiwadhuru

    Habari ndugu, Wachokonozi ni vijana wa kitanzania wanaotengeneza digital contents kwenye social media. Hawa vijana wana talent ya ajabu sana. Wanakufanya ufikilie nje ya box. Mambo mengi yaliyofichwa kwenye makanisa, misikiti na Dini kwa ujumla, Hawa jamaa wameyaweka wazi. Kama ilivyo...
Back
Top Bottom