Serikali ya CCM kama zilivyo Serikali mbalimbali za Kiafrika zinazopokea misaada ya wachina , Shariti Kuu wanalopewa ni Hilo 'Kuruhusu Raia wa kichina watamalaki bila vikwazo ' .
Ongezeko Hilo la utegemezi Kwa Wachina, Kuna uwezekano wa 100% Uchina kua na Uwezo wa kuamua Chama gani kiendelee...
Utafiti mtandaoni unaonyesha Africa kuna Wachina 1m. South Africa ikiwa na Wachina zaidi ya laki nne. Nchi ya Zambia ina wachina 100,000. Kenya wapo 50,000. Tanzania yetu wapo 30,000.
Mytake. Kwa labour cost ya China haikutakiwa tulielie wakija kwetu kutuuzia bidhaandogo ndogo. Vitu kama...
Mjadala wa raia wa kigeni hususani Wachina kufurika katika maeneo ya kibiashara hasa jijini Dar es Salaam, umechukua sura mpya, baada ya Serikali kuanza kuchukua hatua za kuwafuatilia kama wanafuata taratibu za kisheria.
Hatua za Serikali zimekuja wakati kukiwa na malalamiko ya kufurika kwa...
TAMAA
Tatizo la hawa wenzetu wa TZ wanatupiga sana, Kitu alichonunua elf 20 anataka kukiuza elf 60. kwa machina hakuna hiyo, kwa wateja tunaheshimiwa bila kujali muonekano wala kujuana na bei zao Looooooh !! Zinavutia sana lazima ukienda kuuza upate faida wala hawana husda
Mchina anatosheka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.