wachina afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Nigeria imefukuza Wachina 50 kwa Uhalifu mtandaoni na udanganyifu. Tanzania tunakwama wapi?

    Wakuu Nimekuwa nikilalamikia sana kuhusu hawa Wachina humu, naona sasa Wanigeria wameamua kufanya kweli. Malawi na Angola na sasa Nigeria wameshaanza kuchukua hatua dhidi ya hawa watu. Sisi Wabongo tunakwama wapi maan siku hizi ukitembea kule Oysterbay na Mikocheni wameshajitengenea maeneo...
  2. BLACK MOVEMENT

    PreGE2025 CCM inawapa wachina tenda za kuprint tshirt zao. Vijana shtukeni na mjiulize kwanini hampewi hizi tenda

    Hawa ni wachina wanapewa tenda ya kuprint tshirt, Vijana wa Kitanzania wanasota mitaani tu, na sio kusota wapo wenye offisi jama za hawa wachina ila hawajapewa hii kazi. Kuna vijana wana offisi za kuprint mboba CVN wasiwape? au wanaona watatajirika na hivyo CCM itakosa watu wa kuipigia magoti...
  3. Mindyou

    Kipindi cha Magufuli 2015-2020 miradi ya Serikali ya Kichina imetengeneza ajira 50,241 nchini

    Wakuu, Wakati watu tunalalamikia miradi ya Wachina kuwa mingi nchini, kumbe huo ni mkakati wa Wizara ya Mambo ya Nje? Leo nilikuwa napitia ile sera ya Mambo ya nje ya mwaka 2001, toleo la mwaka 2024 ambalo Rais Samia aliizindua hivi karibuni. Kwenye sera hiyo, kipengele 1.2.2 page ya 6...
  4. Mindyou

    Picha: Baada ya Mikocheni sasa Wachina wanatua Mwenge. Kebbys Hotel pale Bamaga nayo imetwaliwa na Wachina!

    Wakuu. Hivi mnaikumbuka ile Kebbys Hotel pale Bamaga, ambayo inaangaliana na Taasisi ya Elimu karibu na TBC? Kwa wale wajanja wa hili jiji, hiyo Kebbys Hotel ilikuwa ni bonge moja la meeting point kipindi hicho. Sijui nini kimetokea hapa katikati naona sasa hivi na yenyewe imebadilishwa jina...
  5. Mindyou

    Video: Mjadala wa Wachina rasmi umetua Bungeni. Hongera sana Charles Kimei kwa nondo hizi, tunaomba hatua zianze kuchukuliwa!

    Wakuu, Binafsi napata faraja sana kuona mjadala huu wa Wachina unaendelea kupata airtime na sasa umeingia rasmi bungeni. Siku ya Ijumaa, Mbunge wa Vunjo Charles Kimei alizungmzia suala la Wachina (japo aliwaita wageni) ambapo alisema kuwa Wachina wamekuwa tishio kwa kuchukua fursa za wazawa...
  6. Lycaon pictus

    Nchi zenye wachina Wengi Afrika

    Utafiti mtandaoni unaonyesha Africa kuna Wachina 1m. South Africa ikiwa na Wachina zaidi ya laki nne. Nchi ya Zambia ina wachina 100,000. Kenya wapo 50,000. Tanzania yetu wapo 30,000. Mytake. Kwa labour cost ya China haikutakiwa tulielie wakija kwetu kutuuzia bidhaandogo ndogo. Vitu kama...
  7. Faana

    Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

  8. L

    Idadi wafanyakazi wachina barani Afrika yapungua, wenyeji waliopata mafunzo wachukua nafasi zaidi

    Katika siku za hivi karibuni takwimu kutoka Idara ya utafiti wa mambo ya China na Afrika (CARI) katika Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani, zilionesha kuwa idadi ya wafanyakazi wachina barani Afrika imepungua kwa zaidi ya nusu ikilinganishwa na mwaka 2015 ilipofika kilele, tangu takwimu...
Back
Top Bottom