wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia

    Kwa mujibu wa The Athletic FC wanaripoti kuwa Mashabiki kutoka nchi za Algeria, Ivory Coast, Cape Verde, Senegal na Tunisia wanapaswa kila mmoja kulipa kiasi cha dola 15,000 za Kimarekani ambayo ni sawa na Tsh. Milioni 38 kama kianzio kama wanataka uhakika wa kwenda Kombe la dunia 2026...
  2. Dah Dube nae anatoka mapema hawezi kuendelea..Naona wamewapiga kimbola wachezaji sasa aisee...

    PRINCE DUBE ametoka ameshindwa kumaliza mechi dhidi ya TRA inaonekana amepata majeraha, inasubiriwa ripoti ya Madaktari kuona ukubwa wa majeraha yake na kwa hoja hiyo Emmanuel Mwanengo ndie Striker Kinara kwasasa.
  3. AFCON N AI CUP MSIUMIZE WACHEZAJI NA HAYA MASHINDANO

    HILI KOMBE HALINA TOFAUTI NA AI CUP YAAN USHAURI TUSIUMIZE WACHEZAJI WETU NA KOMBE KAMA HILI AMBALO LINAAMULIWA OFISIN NA CAF ALL D BEST
  4. Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa mwaka mmoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League

    Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich. Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya...
  5. Kwa nini CAF haiwazuii mashabiki wa timu za Africa kaskazini kumulika wachezaji kwa lasers?

    Huu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?
  6. Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  7. Sishangai mzungu kuita afrika "bara la giza", ni 2026 lakini waafrika wanafanyiana unyama utafikiri sokwe porini, poleni sana wachezaji wa senegal

    Picha linaanza pale tu wametua airport wananchi wakajazana kuwatishis na kuwaita maneno ya kibaguzi
  8. K

    Wachezaji wawili wa Guinea wafungiwa kushiriki AFCON kwa kumtukana mwamuzi

    Wachezaji wawili wa Equatorial Guinea wamefungiwa kwa kuwatusi waamuzi katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), huku nahodha wa Burkina Faso, Bertrand Traore, akitozwa faini kutokana na kauli zake baada ya mechi, mashirikisho ya soka ya nchi husika yalisema Jumatano. Nahodha wa...
  9. Mbinu ya Uganda kuwapa uraia wachezaji toka nchi nyingine imewalipa

    Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
  10. Wachezaji wa Taifa stars ni kama hawana lishe na walegevu mno

    Binafsi ni mpenzi wa football Jana nimefuatilia mechi ya Stars na Nigeria Ilikuwa kama mashindano ya shule Kwamba ni mechi ya Form 1 vs Form 6 Nimeona Taifa stars wana vipaji ila ni kama hawana lishe yaani mbegu mbaya Nadhani serikali iangazie lishe za watoto wakiwa wadogo ili kujenga miili...
  11. Wachezaji Wa Simba Jonathan Sowah Na Allasane Kante Wafungiwa Mechi 5 Na Faini Ya Million 1 Kila Mmoja

    Mshambuliaji wa Simba Sports Club, Jonathan Sowah amefungiwa michezo 5 pamoja na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Alassane Kante pia amefungiwa michezo 5 na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Sowah na Alassane walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu dhidi ya Azam FC. Nae Kiungo Khalid Aucho...
  12. Matola Aliwaambia wachezaji ukiona goli we piga tu. Au chenga wote kafunge. Hakuwa na plan yoyote ya attacking

    Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool. Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool. Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi...
  13. Tetesi: Inasemekana wachezaji hawa Yanga wameanza kushindikana mapema, uvivu

    I salute you kinsmen Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao. Ndio maana hatushangai sana kuwa hawapangwi kabisa 1️⃣Balla mussa Conte 2️⃣Lassine kouma Hawa jamaa inasemekana...
  14. Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  15. Hawa ni baadhi tu ya wachezaji ambao walirithi vipaji kutoka kwa wazazi wao

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya wachezaji wa soka maarufu ambao wamewarithi vipaji vyao kutoka kwa wazazi wao: 1. Baba: Wilfried Mbappé, alikuwa mchezaji wa soka na pia alikuwa kocha wa vijana. Mama: Fayza Lamari, alikuwa mchezaji wa mpira wa mikono (handball). Kylian Mbappé ameonyesha talanta...
  16. M

    Wachezaji wanaocheza Ulaya wanacheza kwa tahadhari kubwa ili kulinda namba zao huko, waacheni wapige maokoto, kuwaita taifa stars ni kuwasumbua

    Sio kwamba wanacheza chini ya kiwango, uwezo wanao lakini malengo yao yapo kwenye kulinda namba zao timu zao za ulaya, huko ndiko yaliko maisha yao waliyoyawekea matumaini. Kijana wa kitanania kapambana sana hadi katoboa kufika Ulaya halafu umwite Taifa Stars ? hauwezi kuwa serious utegemee...
  17. Wachezaji wasio na timu world wide

    🚨Wachezaji ambao hawana timu: 🇲🇦 Hakim Ziyech 🇩🇰 Christian Eriksen 🇯🇵 Takehiro Tomiyasu 🇨🇲 Karl Toko Ekambi 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Dele Alli Alex Oxlade-Chamberlain Patrick Bamford 🇫🇷 Wissam Ben Yedder 🇫🇷 Samuel Umtiti 🇫🇷 Ferland Mendy 🇫🇷Layvin Kurzawa 🇫🇷Kurt Zouma 🇫🇷Jordan Amavi 🇫🇷 Tiémoué Bakayoko 🇪🇸 Sergio...
  18. Wachezaji wa kiafrika ambao wanacheza kwenye ligi kuu ya England 2025/26

    🏟️ Aston Villa 🇨🇮 Evann Guessand 🏟️ Bournemouth 🇲🇦 Amine Adli 🇬🇭 Antoine Semenyo 🏟️ Brentford 🇳🇬 Frank Onyeka 🇧🇫 Dango Ouattara 🏟️ Brighton and Hove Albion 🇬🇲 Yankuba Minteh 🇨🇲 Carlos Baleba 🏟️ Burnley 🇿🇦 Lyle Foster 🇹🇳 Hannibal Mejbri Crystal Palace 🇸🇳 Ismaïla Sarr 🇲🇱 Cheick Doucouré 🇲🇦...
  19. KAMA MANGUNGU ANASEMA VIONGOZI HAWAHUSIKI KUVUJA JEZI BASI WACHEZAJI.. 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 watajeni

    Hahahaaaa ukistaajabu ya polepolee utafurahia ya mangungu mwenyekiti wa Simba ameibuka na kusema hawahusiki kabisa na swala la kuvuja jezi kama viongozi walifanya sehemuyaoo na kama kuna ivujujaji wa jezi vasi waulizwe wengine nasio viongozi wa Simba swali la 1 Unasema kama kuna uvujaji...
  20. Kuna timu imetoka pre season wachezaji wana vitambi

    Wakati wengine wakiendelea kujiimarisha na kujiweka sawa kuukabili msimu ujao, Kuna timu ilienda kuweka kambi hotelini na kujikita katika zoezi la swimming, huku wakicheza na timu za bodaboda wa kiarabu. Msimu ukianza tusisikie 'GSM ANAHARIBU LIGI' TUTAKUWEPO
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…