waasi wa m23

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    DR CONGO: Waandishi wa habari wakumbwa na vitisho kutoka kwa waasi wa M23 na jeshi la serikali (FARDC)

    Waandishi wa habari katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliwa na vitisho vinavyoongezeka kadri mapigano yanavyozidi kushamiri mashariki mwa nchi, kwa mujibu wa shirika la Reporters Without Borders (RSF). Shirika hilo linaonya kuwa nchi hiyo imekuwa moja ya maeneo hatari zaidi kwa...
  2. PAYE

    Rwanda yakiri kushirikiana na makundi ya waasi wa AFC/M23 Jamhuri Kidemokrasia ya Kongo

    Kwa mara ya kwanza Rwanda imekiri kuwa inashirikiana na kundi la waasi wa AFC/M23 katika vita vinavyoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mathilde Mukantabana ameiambia kamati ya Bunge la Marekani kwamba Rwanda imekuwa ikifanya hivyo kwa...
  3. pulex

    Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  4. R

    DRC Congo yaitisha mkutano na makamanda waandamizi wa jeshi kufuatia kushindwa kwao dhidi ya waasi wa M23

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imewaita maafisa wake waandamizi wa kijeshi 41, wakiwemo majenerali 35 na makamanda wa ngazi ya kanali 6, ili kuhojiwa kufuatia kushindwa mara kwa mara vitani dhidi ya waasi wa M23 mashariki mwa nchi. Hatua hii inalenga kubaini nani anawajibika kwa...
  5. Dalton elijah

    Kongo Na Waasi wa M23 Kuanza Mazungumzo ya Ana Kwa Ana

    Duru za pande hasimu nchini Kongo zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana April 9. Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani, imemteua Massad Boulos kuwa mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya Afrika, Arabuni na mashariki ya kati...
  6. Dalton elijah

    Rex Kazadi Aliyekuwa Mgombea Urais DRC 2023, Amejiunga Na Waasi Wa M23

    Rex Kazadi, mgombeaji wa uchaguzi wa urais wa DRC wa Desemba 2023, amejiunga na safu ya waasi ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), kulingana na ripoti zinazoonyesha kwamba alijiandikisha Jumapili, Machi 30, kutoka Ulaya. Siku ya Jumapili mratibu wa AFC/M23 Corneille Nangaa alitoa wito kwa raia...
  7. Kitimoto

    Mapokezi ya Msemaji wa Waasi wa M23 Willy Ngoma Alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC

    Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC. Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC...
  8. Dalton elijah

    DRC : Waasi wa M23 waripotiwa kuelekea kuunda mfumo wao wa fedha

    Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo, benki zote za biashara zimefungwa kwa maagizo ya mamlaka mjini Kinshasa. Kutokana na hali hiyo, katika jiji hili lenye wakazi zaidi ya milioni moja, madawati ya fedha hayafikiki, fedha...
  9. Waufukweni

    Hatimaye Tshisekedi na Kagame wakutana Qatar kujadili mzozo wa M23, wakubaliana kumaliza Vita DRC

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, wamekutana nchini Qatar kwa mazungumzo ya kwanza ana kwa ana tangu kuanza kwa mashambulizi ya waasi wa M23 mashariki mwa Kongo mwezi Januari. Mazungumzo hayo yalifanyika Jumanne chini ya usimamizi...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Waasi wa M23 Wateka Bukavu, Jiji la Pili kwa ukubwa Mashariki mwa DRC

    Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki. Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23, ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa waasi hao waliingia katika mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Waasi wa M23 waanza tena mashambulizi dhidi ya Jeshi la DRC baada ya kusitisha kwa siku mbili

    Waasi wa M23 wameanza tena mashambulizi dhidi ya vikosi vya jeshi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mapigano kusimama kwa siku mbili. Soma Pia: Mamia ya wanajeshi wa Rwanda wanaosaidia waasi wa M23 wadaiwa kuuawa vitani DRC Mapigano yalianza alfajiri ya Jumanne karibu na...
  12. Waufukweni

    Mamia ya wanajeshi wa Rwanda wanaosaidia waasi wa M23 wadaiwa kuuawa vitani DRC

    Mamia ya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Kuuawa kwa wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai askari wake hawahusiki wala kushiriki...
  13. Zanzibar-ASP

    Kagame anataka DRC iwatambue waasi wa M23 lakini yeye hataki kuwatambua waasi wa kihutu!

    Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka...
  14. Zanzibar-ASP

    Ni muhimu mnoo sasa Tanzania kuingia vitani kuilinda DRC na kuwafurusha waasi wa M23.

    Ama kwa hiari (kupenda) au kwa lazima (shuruti) ni wakati muafaka sasa kwa majeshi ya Tanzania kuingia moja kwa moja uwanja wa vita (Full scale) huko DRC ili kurejesha amani na kuwafutilia mbali waasi wa M23. Sababu za kufanya hivyo zipo na kwa uchache sana nitaziweka hapa. 1. DRC ni jirani...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Rais wa Kundi la waasi wa M23: Atoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika mji wa Goma

    Waandishi wa habari wameambiwa wasiwe na hofu kabisa kuendelea kukusanya taarifa zote katika mji wa Goma! Waandishi wetu wa Bongo wangeweza hili? ======================= Rais wa Kundi la waasi wa M23 Bertrand Bisimwa ametoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika...
  16. B

    Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

    Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
  17. imhotep

    Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

    Wakuu, Habari ndio hiyo, Waasi wa M23 wanaelekea Bukavu mji mkuu wa jimbo la Sud Kivu baada ya kuuteka mji mkuu wa Nord Kivu wa Goma. ================================================== The humanitarian crisis in the Democratic Republic of Congo intensifies as Rwanda-backed M23 rebels advance...
  18. W

    PDF la vita inayoendelea DRC, wakongo wa Mashariki wanaonewa na serikali yao, wakombozi wao ni M23 na Rwanda

    Kabla ya kuilaumu Rwanda kuhusu suala la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), nataka nikupatie historia fupi kuhusu kinachoendelea katika sehemu ya mashariki ya Congo. Hii ilianza vipi? Unachosikia kila mara ni kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, na serikali ya DRC...
  19. Waufukweni

    Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  20. Richard

    Congo DRC yavunja uhusiano na Rwanda kufuatia mzunguko wa Goma unofanywa na waasi wa M23

    Leo hii serikali ya Congo DRC imetangaza kuvunja mahusiano na Rwanda huku wanajeshi wapatao 13 wa kutoka vikosi vya kulinda amani na wanajeshi wengine wa kigeni kuuawa. Wizara ya mambo ya nje ya Congo DRC imetangaza leo kuwa inawaondoa watumishi wote walioko katika ofisi ya ubalozi wa Congo DRC...
Back
Top Bottom