Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan
Means kuna rushwa inaendelea soka letu
Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi
Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria
Mna shida kubwa sana snaaaa...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda.
Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC.
Ibrahim...
Ni wakubwa kiumri, wachanga kiuongozi. TFF ilianzisha mwaka 1945 na kujiunga Uanachama wa FIFA mwaka 1964. Chama cha Soka Afrika Kusini (SAFA) kilianzishwa mwaka 1991.
Mipango mingi inayopangwa na TFF kwasasa ilipaswa kupangwa miaka mingi nyuma. Changamoto nyingi zinazojitokeza kwenye mpira wa...
Offside kwa mbaaaaali......si tunanufaika na marudio ya picha ...... of course ila ni very tight .......kosa ni la line one.....n.k ni kauli ambazo hutawala vinywa vya wachambuzi pale wanapochambua ligi ya Tanzania bara ,kauli kama hizo kwenye mashindano ya chan hatukuziona kabisa au zilikuwa...
Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili.
Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa kutumia nguvu, hivyo sio Kila msukumano wa wachezaji unahitaji filimbi.
Filimbi nyingi zinazalisha timu...
Jamaa wamenyooka kama rula,pira limepigwa hakuna mbeleko sijui mzee sasa itakuwaje,Simba kachezea kipigo.
Hawa hata tukiwaleta wawe wasimamizi wa UCHAGUZI CDM mjiandae kutopata hata kiti kimoja hawana kulia Lia,hawataki kudeka piga kazi kama mama anavopiga kazi,kigongo busisi,bwawa la Mwl...
Mimi ni mtanzania lakini kule uingereza ni mshabiki wa Arsenal. Kama ningekuwa mwamuzi na kuambiwa nikachezeshe mechi kati ya arsenal na Manchester united lazima ningeipendelea Arsenal tu. Kule Misri mm ni mshabiki wa Al-Masry.
Je, hawa wanaokuja huku hawana timu wanayoishabikia kati ya Simba...
Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri.
Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed.
Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC...
HUYU N Mwenyekiti WA kamati ya WAAMUZI
Nasoro hamduni wiki iliyopita kahojiwa mbona watu wanalalamika sana kwa WAAMUZI mbona hamuwaadhibu
Akajibu hawana mazoea ya kutangaza ADHABU za WAAMUZI wanawaadhibu kimya kimya
Leo kahojiwa huyoohuyoo hahaa anasemaa tumesikia kelele za wananchi zimekuwa...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania (FRAT) inayoongozwa na Emmanuel Chaula, iliyochaguliwa leo Mei 30,2025 katika ukumbi wa Maktaba jijini Tanga.
Kwa utafiti wangu mdogo kutoka vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa karibia asilimia 75 ya waamuzi ligi kuu ya NBC ni ngumbaru hvo hicho wanachokitoa ndo uwezo halisi ukiacha mambo ya maelekezo kwenye baadhi ya mechi.
Ukienda EPL la Liga Bundesliga na french Ligue 1 Kuna waamuzi Wana Hadi PhD, lkn...
Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
Kamati ya Mpira wa Miguu wa Wanawake ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake kilichopita taarifa za mechi za Ligi Kuu ya Wanawake imemfungia Meneja wa Simba Queens, Selemani Makanya kwa miezi 6 na kumpiga faini ya TSh 1.5 Milioni kwa kosa la kuwashambulia Waamuzi baada...
Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio...
Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
🏟️ New Suez Stadium
Kaa karibu kwa Live updates
Vikosi vya timu zote (Team news)
Mechi imeanza
4' Mashambulizi kwa...
al masry sc
al masry vs simba
fainali
hamna
hii
mimi
mizimu
nakupenda
ndoa
new suez stadium
robo fainali
robo fainali caf cc
simba
simba sc
tayari
uzalendo
waamuzi
wewe
HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA
YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA
NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI??
SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5.
MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
Kama kawaida kwa mechi zake timu hiyo kongwe imemalizana na Waamuzi wa mechi ya kesho. Waamuzi hao wameshalamba sehemu ya mlungula wao kuhakikisha timu inashinda ikiwemo kutoa penalti na kumtoa nje ya uwanja mchezaji wa timu pinzani kwa kadi nyekundu.
Wameangaika kuwarubuni baadhi ya wachezaji.
BAADA YA MAKELELE MENGI
MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO
BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA SHERIA XINAKUTAKA UIPOKEE NDAN YA MASAA MANGAPI
AKAKATA SIMU
AMEOMBA WANANCHI KUWA WATULIVU AKIPOKEA...
Ukweli usiofichika ni kwamba Yanga na Simba zimekua kubwa na zenye nguvu kuliko mamlaka za soka nchini.
Wasimamizi wa soka letu wako tayari kuzibeba hizi timu ili kuwafurahisha watu kuliko kutenda haki.
Kadri muda unavyosonga, ligi inayoitwa ya nne kwa ubora barani Afrika inazidi kuwa ligi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.