Shikamoon wakubwa zangu
Wadogo zangu,hamjambo.
Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi.
Hebu Kwanza niulize,
Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za...