Ndugu wajumbe
Nimesikia mahali Posho yangu kidogo niliwapa wapinzani maana walikuwa vibaya sanaa wamechoka kwenye nchi za watuu.
Uchambunzi huru.
Serikali yao ndio iliyosababisha wakimbie nchii so hapo sijaona kosaa na ukienda maeneo mapya lazima stragglers zitokee na pesa hizo zimetoka wa...
Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu.
Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha maandamano linauza hoja kuwa mtesi wa wapinzani tangu 1992 tuingie kwenye vyama vingi ni CCM. Wakati huo...
Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile
Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita...
Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.
Nikajiuliza swali, inakuaje...
Hiki nacho ni kituko cha aina yake katika nchi ya wanasiasa waroho na wajuaji wasioelewa alama za nyakati ! Wapinzani wetu wanapambana na adui Mmoja angali wao wenyewe hawaaminiani !!
Hawapeani 5 Kila mtu anamuona mwenzake ni adui !! Wapinzani wetu ni waroho na wabinafsi ! Wapinzani wa nchi...
Wapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣
CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa imemaliza kero zote za Watanzania, mfano
Watumishi wa umma wameongezwa mishahara...
Mwaka 1992 ambapo inadaiwa siasa za ushindani zilirejeshwa tena nchini, raia wengi (80%) inasemekana walikuwa wanataka mfumo wa chama kimoja uendelee lakini CCM ikafanya jambo la nadra sana lisilotegemwa la kuwasikiliza wachache(20%) na kukubali kurudisha mfumo wa vyama vingi uliondolewa mwaka...
Madhara ya mwanasiasa wa upinzani kujiunga na chama Tawala katika SAIKOLOJIA YA SIASA ni makubwa na yana athari za kisaikolojia kwa Jamii, Wafuasi na mfumo wa kisiasa kwa ujumla. ...
Madhara hayo ni pamoja na:
1. Kuimarika kwa Chama Tawala...
Kisaikolojia, hali hii hujenga taswira ya...
Je,
walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe?
Au ni kwasasababu uropokaji, kukosa maono kwa Lisu, kukosa hekima na busara kwa huyo mtoa wito asie aminika na mwenye...
Wakati Uganda akiimarisha Jeshi lake ili aje kusogeza mpaka wa Kagera, Malawi akijiweka sawa kuchukua Ziwa Nyasa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya vinawaza kuwa chawa wa wapuuzi wa CCM na kuua upinzani ili CCM iendelee kuwepo Madarakani.
Nchi ikiwa kwenye matishio halisi ya kiusalama wao...
Nimekumbuka sana
Wakati CUF wanaitwa MAGAIDI , CDM waliitwa IKULU kunywa CHAI wao walijua wanapendwa kumbe enzi hio hawakuwa TISHIO kwa MUUNGANO sasa Leo Goma Limegeuka wao ni Tishio ni Zamu ya ACT sasa kuitwa IKULU kunywa CHAI, hili ni Somo vyama vya upinzani kuungana na kutodhani wanapendwa...
BALOZI NCHIMBI APIGA MARUFUKU WIMBO UNAOCHOCHEA CHUKI DHIDI YA WAPINZANI
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na kuchochea chuki dhidi ya vyama vya upinzani, akiagiza usitumiwe na wanaCCM popote, kwani wao wanapaswa kuwa mfano...
Wakuu
Kutokana na yanayoendelea napendekeza vyama vyote vya upinzani viachane na swala la uchaguzi wawaachie wenyewe wafanye kampeni kivyao,wapige kura kivyao
Wanapata nguvu ya kufanya yoote haya kwa sababu wanajua mwsho wa siku kuna watu watakuja kucompete nae kwa ushahidi tuu
Sasa ni busara...
Mtanzuko uliopo ambao kundi Fulani linahisi halitendewi haki hauwezi kutatuliwa kwa kutumia jeshi la polisi ,mahakama na magereza !
Ni sauti yako tu tena ni kikao Cha nusu saa tu Kila kitu kitakuwa sawa !! Inua simu moja tu waambie wapinzani njooni tuzungumze ! Usitumie nyundo au panga kumuua...
Habari wakuu...
Nahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms.......
Hii ingewapa power upinzani na win ingekuwa win ya pamoja Chadema na vyama vingine vya upinzani.
Kuliko sasa hivi...
Njia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi, sikiaeni hoja za wapinzani mzifanyie kazi wakose hoja lakini hii kamata weka ndani kuna siku itakua mbaya.
“Wapinzani wa Tanzania tunaishi kama watoto yatima ni watu ambao tunapata mateso sana kwenye hii Nchi lakini haya yote yataisha siku tukipata katiba mpya” Shabani Itutu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Mh. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, ndiye mpinzani wa kweli nchini Tanzania.
Serikali ya awamu ya tano (5) chini ya Rais Magufuli, lilitokea jaribio la kutaka kumuua baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa eneo la makazi ya Wabunge wa Bunge...
Kada wa CCM, Peter Msigwa baada yakumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi mjini Mbamba by, Ruvuma amevitaka vyama vya upinzani kunadi sera mbadala dhidi ya chama tawala, na kuacha kupinga kila kitu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.