vyama pinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Zamani ilikuwa hivi CCM wakishirikiana na polisi kuzimisha mikutano ya vyama pinzani

    Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani. Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani. Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na...
  2. Hance Mtanashati

    Vyama pinzani vilifelisha watanzania kwa tamaa za muda mfupi na kudhani wanaikomoa CHADEMA

    Laiti kama vyama pinzani wangebeba agenda kuu ya kutokubali kufanya uchaguzi mpaka reforms kadhaa zifanyike mfano uwepo wa tume huru ya uchaguzi, kukataa uhuni wa vitambulisho vya taifa (NIDA) na vya vitambulisho vya kura kuunganishwa na mfumo wa CCM , bila shaka tungepata mwanzo mzuri wa kupata...
  3. Mafyangula

    GE2025 Abdulrahman: Hakuna Vyama Pinzani Bali kuna Taasisi za watu

    Aliyewahi kuwa Katibu wa CUF Mkoa wa Tanga Abdulrahman Hassan Amesema Chama cha Mapinduzi CCM, ndio chama pekee kinachoweza kuleta maendeleo nchini Tanzania huku akielezea historia yake na Vyama vya siasa vya upinzani Nchini Amesema hayo leo Oktoba 8, 2025 katika mkutano wa kumnadi mgombea...
  4. R

    GE2025 Wakili Maduhu William: Vyama pinzani vinahitaji kuwa na sera madhubuti na mbadala kushindana na CCM siyo maigizo

    Wakili Msomi Maduhu William Mchambuzi wa masuala ya Siasa akizungumza katika kipindi cha Sentro Clouds TV ameeleza kuhusiana na Vyama pinzani kushindana na Chama cha Mapinduzi CCM inahitaji kuwekeza katika hoja na watakachofanya kwa wananchi kuzidi CCM iliyopo madarakani kuwa na sera madhubuti...
  5. PLOII

    Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  6. A

    Wagawanye uwatawale inavyotumika kuua Vyama Pinzani

    Hivi karibuni, June kuwepo na juhudi kubwa za chama Fulani kushinda Uchaguzi ujao, katika kutekeleza juhudi hizo chama hicho kongwe, kina tumia pesa na nguvu zingine ilizo nazo , ili kuzivuruga Vyama Pinzani. Lakini nikionacho hizo juhudi ni adha zake zitakazo achwa baada ya chama kongwe...
  7. A

    PreGE2025 Je mitandao ya kijamii inalaghai vyama pinzani?

    Je nitakuwa nipo sahihi au nitakuwa nimepotoka? Nikisema mitandao ya kijamii inatudanganya sisi vyama pinzani Maana ukiaangalia tunavyopata uungwaji mkono mitandaoni ni tofauti na kwenye maisha ya uhalisia uku mtaani wananchi wengi hawana muamko wala uelewa wa mambo ya nchi yanavyokwenda wao...
  8. Fbn

    Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  9. Mr Why

    Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  10. funaku

    Mvutano wa Mbowe na Lissu unaonesha uchanga wa vyama pinzani Tanzania!

    Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutudhihirishia yale ambayo wazalendo wa nchi hii tuliyotabiri na kuyaamini. Upinzani wa nchi hii bado ni mchanga na CCM inatakiwa kuendelea kuulea hadi ukue. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Tundu Lissu: Kuondoka kwa Msigwa CHADEMA ni pigo sana kwangu na tumepoteza mtu muhimu sana

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA. Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na...
  12. The Legacy

    Mbowe anastahili lawama asilimia 100 % Kwa kinachoendelea kwa demokrasia ya Tanzania na vyama pinzani

    Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza. Bila aibu mkausaliti umma wa watanzania uliokua nyuma yenu na kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuomba haki...
  13. M

    Siasa iwe kama mpira wa miguu. Usajili uwe kwa msimu

    Suala la kuhama Mwanasiasa kuhamia chama chengine iwe kwa msimu hasa kipindi Bunge lishavunjwa ili kujenga heshima katika siasa. Mwanasiasa anaetaka kuhamia chama chengine asubiri muda huo. Hali ilivyo hivi sasa Watanzania wanyonge wanampigania Mwanasiasa ashinde uchaguzi hali na mali hadi...
  14. kagoshima

    PreGE2025 Ni wakati wa vyama pinzani kufanya mandamano ya amani kupinga utekaji wa wafuasi wao unaoendelea Nchini

    Kuelekea chaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 kuna utekaji wa raia wanaounga mkono vyama pinzani wengine wakipotezwa kabisa. Lengo linaweza kuwa kuwatisha raia kujihusisha na siasa au kuogopa kuikosoa serikali. Moja ya njia ya strategy ya kukomesha huu ukatili ni vyama...
  15. A

    KERO Inashangaza sana: Afisa Elimu adai walimu wanaoomba kuhamia CHAKUHAWATA ni wanaharakati wa vyama pinzani!

    Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi unapokea ngapi tofauti na CWT wanaokataa 2% ya PAYE yako). Wakiwa ofisini wakiendeleza mazungumzo na...
  16. Kyambamasimbi

    Hivi TBC ni ya Serikali au ya chama tawala, Mbona habari za vyama pinzani hazisikiki?

    Habari wanJF. Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
  17. passion_amo1

    Ni kwamba JF ina watu wengi kutoka vyama pinzani au ni watu kwa ujumla kuichoka CCM?

    Wakuu Heshima mbele. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, huwa nafatilia mijadala mingi sana ya siasa. Lakini kuna kitu nimekigundua itakapotokea mtu ameandika kitu kuhusu kuisfia serikali ya CCM basi watakuja watu wengi sana kupinga kwa nguvu Wengine hupinga kwa hoja, wengine hujibu...
  18. BARD AI

    Rais Ramaphosa na ANC wakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Vyama Pinzani

    AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge. Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
  19. Mhafidhina07

    Nina ulakini kwa vyama pinzani wa TANZANIA, huenda ni lele mama

    World always ins't fair. Ulimwengu unabadilika kadri ya saa na dakika zikigonga tik tok muda unakwisha, miaka 10 iliyopita nilikuwa kijana wa makamo niliyependa kusikiliza sana hutuba za upinzani (CHADEMA) hoja zao was so emotionally and tactically wakiwa katika viunga vya bunge. Waliibua hoja...
  20. Mhafidhina07

    Kitendo cha vyama pinzani kususia uchaguzi hakina afya katika demokrasia. Suluhu ni mgombea binafsi?

    Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano yenye kutoa muongozo wa kidemokrasia lengo ni kutufanya wananchi kuweza kushiriki katika maamuzi yetu kupitia chaguzi zetu, lakini kwa bahati mbaya kuna mkusanyiko wa matukio ya kususia uchaguzi ambao unafanywa na vyama pinzani mfano CHADEMA katika...
Back
Top Bottom