vyama pinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Kwanini wasifu wa marehemu waliohama CCM na kisha kurudi huwa hawaandiki historia ya vyama pinzani walivyohamia?

    Leo nimesikiliza wasifu wa Edward Lowassa, ni wazi kabisa wameruka historia ya yeye kujiunga Chadema na kugombea urais. Vilevile imewai kutokea kwa Bernard Membe ambapo baada ya yeye kuamia ACT Wazalendo kwa nia ya kugombea urais, lakini siku ya msiba hawakusoma historia ya yeye kujiunga na...
  2. B

    Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  3. K

    Kwanini sala nyingi ujikita kuombea waliopo madarakani na kuacha vyama pinzani?

    Ukifuatilia sala na maombezi mengi yanayofanywa hasa na viongozi wa dini ya kikikristo ambayo Mimi Ni muumini utaja majina ya viongozi wa kitaifa, kimkoa, kiwilaya na hata mataifa mengine. Katika sala hizo utajwa kwa majina, Rais na Marais wastaafu, Makamu, Waziri mkuu, Jaji Mkuu, Spika ,vyombo...
  4. mama D

    Mnaojiita Vyama Pinzani Tanzania msipokubali kuacha ubinafsi na kuwatumikia Wananchi kwa Elimu ya Siasa Ikulu mtapasikiga tuu

    CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari! Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua...
  5. Abdul Nondo

    Sauti za Wananchi, Vyama Pinzani na Wanaharakati zasikika Tozo za miamala

    Sauti za wananchi zimesikika Binafsi ninapongeza maamuzi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hili. Sioni haja ya watu kugeuka tena kusema mbona Rais huyo huyo alisaini sheria na sasa anatengua? Kwani malalamiko yetu dhidi ya hizi tozo yalikuwa na lengo gani? Lengo lake ilikuwa...
Back
Top Bottom