Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...