vunjo

Central Kilimanjaro, or Central Chaga, is a Bantu language of Tanzania spoken by the Chaga people.
There are several dialects:
Moshi (Old Moshi, Mochi, Kimochi)
Uru
Mbokomu
Wuunjo (Wunjo, Vunjo, Kivunjo), including Kiruwa, Kilema, Mamba, Moramu (Marangu), MwikaMoshi is the language of the Chaga cultural capital, Moshi, and the prestige dialect of the Chaga languages.

View More On Wikipedia.org
  1. Crocodiletooth

    GE2020 Wana Vunjo msifanye makosa mchagueni Kimei ana uwezo mkubwa wa kuwapeleka pazuri

    Alipoitoa crdb mpaka alipoifikisha mpaka anastaafu ni rekodi safi kabisa msifanye makosa hapa alikuwa anafafanua ni jinsi gani atawasaidia kuanzisha kiwanda cha kusindika ndizi ukizingatia zao hili ni zao lenye kuharibika mapema.
  2. C

    GE2020 Mrema na wanachama wa TLP wamlaki Magufuli Himo, awaombea kura wagombea wa CCM na kumzawadia Magufuli Mbuzi

    TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo. Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya kumuombea kura, Mrema amewaambia watu wa Himo na Vunjo kuwa kura zote kwa Rais Dk. John Pombe...
  3. F

    GE2020 Mrema (TLP), Mbatia (NCCR), Kimei (CCM) na Kiwelu (CHADEMA) wafanya kampeni za ubunge Vunjo (K'Njaro) kuwa zenye ushindani mkali kuwahi kutokea

    Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East London huko Uingereza ambalo kila mwaka wa uchaguzi linabadilisha chama. Kinyang'anyiro hiki ambacho...
  4. NCCR Mageuzi

    GE2020 James Mbatia aitikisa Vunjo, maelfu ya wanachama wamiminika kumlaki

    Septemba 19, 2020 Viwanja vya Polisi Himo, Moshi mkoani Kilimanjaro viliwaka moto huku ikishuhudiwa maelfu ya wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi na wakaazi wa jimbo la Vunjo kutoka kila kona ya Moshi wakimiminika kwenye viwanja hivyo kumlaki na kumsindikiza mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na Mgombea...
  5. Civilian Coin

    GE2020 James Mbatia (NCCR-Mageuzi) v Charles Kimei (CCM) - Jimbo la Vunjo

    NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima #DON NALIMISON Simu Na. 0682 94 29 01.
Back
Top Bottom