viwanja vya mpira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Tunajitahidi kujenga viwanja vya mpira (Afcon) lakini timu yetu bado mbovu.

    Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027? sina mengi ya kusema.
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Tutaomba kuwa Wenyeji wa Kombe La Dunia

    My Take Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa. Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa. Kama...
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
  4. D

    JamiiForums Tanzania tungekuwa na rais wa kueleweka viwanja vya mpira vingekuwa atleast 5-10 by 2027,

    I will be short our current president is cause of failures of chan and afcon to host more games in tanzania. kenya is hosting twice the number of games as us. With an unvisionary president for 2027, we could have solved the field problems in our league as AFCON offers us the opportunity to...
  5. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Hakutakuwa na mechi za saa nane mchana, mechi zitaanzia saa 11 sababu kutakuwa na miundombinu bora kabisa ya viwanja vya mpira

    Kwa east afrika na afrika kwa ujumla hakuna nchi itakua na miundombinu bora ya mpira wa miguu kama Tanzania Mtoto wa uganda, kenya, Congo, Rwanda atakua na ndoto za kuja kucheza mpira Tanzania Team 255713520180
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu sababu wote mnatumia uwanja mmoja

    Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua Simba na Yanga. Ila yote kwa yote ni kwamba Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa viwanja vya mpira Tanzania

    TFF imeendelea kuvifungia viwanja ambavyo havina sifa mfano: Al Hassn Mwinyi, Kirumba na Jamhuri Dodoma. Nashauri tena, viwanja vya CCM virudishwe serikalini, vikarabatiwe na visimamiwe na halmashauri vilipo viwanja ili kukuza soka na kuwasahaulisha Watanzania. Kuna kipindi serikali ilisema...
Back
Top Bottom