[emoji117]Duniani hapa kila kiumbe kipo kwa ajili ya kingine, yaani uwepo wako ni muhimu kwa ajili ya uwepo wa wengine. Ukiamka ahsubuhi lazima umtafute binadamu mwenzako alipo. Siku utakapoamka na kutembea siku nzima bila kuona mtu ye yote, lazima hofu ikukamate. Unaweza ukasema hauna shida na...