vitu

Vitus (), according to Christian legend, was a Christian saint from Sicily. He died as a martyr during the persecution of Christians by co-ruling Roman Emperors Diocletian and Maximian in 303. Vitus is counted as one of the Fourteen Holy Helpers of medieval Roman Catholicism.
Saint Vitus' Day is celebrated on 15 June. In places where the Julian Calendar is used, this date coincides, in the 20th and 21st centuries, with 28 June on the Gregorian Calendar.
In the late Middle Ages, people in Germany celebrated the feast of Vitus by dancing before his statue. This dancing became popular and the name "Saint Vitus Dance" was given to the neurological disorder Sydenham's chorea. It also led to Vitus being considered the patron saint of dancers and of entertainers in general.Vitus is considered the patron saint of actors, comedians, dancers, and epileptics, similarly to Genesius of Rome. He is also said to protect against lightning strikes, animal attacks and oversleeping. Vitus is the patron saint of the city of Rijeka in Croatia; the towns of Ciminna & Vita in Sicily, Forio on the Island of Ischia, in Campania, Italy; the contrada of San Vito, in Torella dei Lombardi, in Avellino, Italy; the town of Rapone, Italy; the town of Winschoten and the Gooi region in the Netherlands, the Italian colony of San Vito in Costa Rica, and the town of St. Vith located in Belgium.
Various places in Austria and Bavaria are named Sankt Veit in his honour.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vitu vya ndani kwa anayehitaji

    Wakuu habari. Nina vitu hivi vya kwangu mwenyewe naviuza kwa anayehitaji tuwasiliane inbox. TV allyons nchi 32 = 190,000/= (bei fixed imetumika 5 month,boksi lake na kila kitu vipo fresh) Radio Boss imetumika miezi 7 bei 90,000/= King'amuzi cha Azam(Dish) kimetumika 5 months bei 90,000/=...
  2. JamiiForums Tanzania UJUMBE WA LEO: Ukitaka Kupata Vitu Haujawahi Kuvipata Inatakiwa Kufanya Vitu Haujawahi Kuvifanya

    Comfort zone is toxic☣️ Comfort zone is a trap🪤
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Vitu Vinavyotofautisha Kampuni na Business name

    1. Umiliki Kwa Sheria za kwetu hapa Kampuni ni lazima iwe na Wamiliki kwanzia wawili na kuendelea. Hawa huitwa shareholders au wanahisa. Lakini kwenye jina la biashara anaweza kua mtu mmoja anaumilikj wa asilimia 100. 2. Watendaji Kwenye Kampuni lazima kuwe na watendaji wakuu yaan directors...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vitu gani muhimu vinatakiwa viwemo kwenye meza chumbani kwa wanandoa wapya?

    Wakuu Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe? Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼 Vitu gani niongeze ili akute meza ipo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ukifa Leo, Ni vitu gani muhimu ambavyo hukushirikisha watu wa karibu havitajulikana na siri zako zipi hasa zile za aibu zitakazofichuliwa ?

    Ni mambo mengi sana muhimu watu huwa wanasubiri wakati sahihi kuyaweka wazi lakini kifo huwa hakina hodi Mifano ya vitu Muhimu ambavyo havitajulikana ukifa leo: Akaunti zako za benki au fedha ulizoficha bila warithi kujua Viwanja, mashamba, nyumba au mali, kuna nyumba huwa zinaitwa za...
  6. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  7. JamiiForums Tanzania Jamani hivi wanawake nao huwa wanasahau vitu vidogo vidogo kama sisi wanaume?

    JAMANI HIVI WANAWAKE NAO HUWA WANASAHAU VITU VIDOGO VIDOGO KAMA SISI WANAUME? Mimi kuna muda nasahau kupiga maswaki,nasahau kufunga zipu ya suruali au kifungo cha shati,nasahau kabisa kuchana nywele wakati wa mtoko.... Wewe huwa unajisahau wapi mdau? Au ulishawahi kuona mtu kajisahau kitu gani...
  8. JamiiForums Tanzania Wabongo ni wavumilivu sana au wanaridhika kwa hali duni na vitu vidogo tu?

  9. JamiiForums Tanzania Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa

    Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa 1. Msingi Imara Zaidi: - Ghorofa huhitaji msingi wenye nguvu zaidi (deep foundation) ili kubeba uzito mkubwa wa jengo. 2. Nguzo na Beams Zaidi: - Vifaa vya kuongeza uimara kama nguzo...
  10. JamiiForums Tanzania Vitu gani vilikufanya ubadilishe mtazamo wako juu ya kitu ama jambo fulani..?

    Sisi kama binadamu kuna vitu vingi tunapitia nakuwa na uzoefu katika vitu hivyo!, Navyo hutupelekea kubadilisha njia ama mtazamo juu ya kitu fulani je, wewe ni vitu gani hivyo vilikufanya ubadili mtazamo juu ya kitu fulani..? Binafsi ni kazi. Nina hulka ya introvert, ila kazi niifanyayo...
  11. JamiiForums Tanzania Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawendelei kwa sababu ya kuifuatilia vitu vichovu vinyonge na vilivyofelifeli

    Unachokifuatilia muda mrefu ndicho kinajenga ufahamu na mipaka yako kiakilini. Acha kufuatilia mambo madogomadogo, mambo ya manenomaneno yasiyo na vitendo. Unanyong'onyesha Ubongo wako. Mfano; Jamaa kapata milioni 300 lakini anafikiria kwenda kufungua mpesa au kufuga tung'ombe kwenye robo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Huu mjadala wa jamii gani nchini inaongoza kwa wasomi muumalize wenyewe, ingieni humu mjihakikishie wenyewe, kelele na kujisifu viwekwe pemebeni

    Muumalize wenyewe
  14. JamiiForums Tanzania FAHAMU KUHUSU IOT (INTERNET YA VITU) INTERNET OF THINGS.

    IoT: Teknolojia Inayounganisha Vitu na Maisha Yetu Katika dunia ya sasa inayozidi kushikiliwa na teknolojia, kumekuwepo na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia yanayobadilisha namna tunavyoishi, tunavyofanya kazi, na hata tunavyolima. Moja ya teknolojia zinazochukua nafasi kubwa kwa sasa ni IoT –...
  15. JamiiForums Tanzania Huu mstari ukiuelewa vizuri kuna vitu hautateseka

    HABARI WAKUBWA MSTARI KUTOKA MIKA 7:5 Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari. 🙏
  16. JamiiForums Tanzania Mnaweza kunitajia vitu vilivyotengenezwa Tanzania

    Made in Tanzania ukitoa plastic na majembe ya mikono
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  18. JamiiForums Tanzania Vitu vinavyo ongeza gharama za ujenzi

    Gharama za ujenzi wa nyumba zinaweza kuongezeka kutokana na mambo kadhaa, kama vile aina ya udongo, muundo wa nyumba, na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi. Pia, mipangilio ya kiwanja na miundombinu inaweza kuathiri gharama hizo. Mambo Yanayoongeza Gharama za Ujenzi wa Nyumba - Aina ya Kiwanja...
  19. JamiiForums Tanzania Ukijifungia kwenye uzio wa " Vitu vya kike" " Mambo ya kike" Utakosa raha duniani.

    Mimi nanunua ubuyu nakula, Nanunua chips yai nakula Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume. Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani. Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuandaa Questionnaire ya Research yako na vitu vya msingi vya kuangalia

    Moja kati ya hatua muhimu sana unapokuwa kwenye process ya kufanya research, especially hii aina ya quantitative huwa ni kipengere cha kuandaa questionnaire. Lakini ukweli ni kwamba kuandika questionnaire huwa siyo tu kitendo cha kuamka unakukusanya maswali kama unavyoonaga walioandaa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…