viti maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ashiriki ziara ya kamati ya bunge TAFICO

    MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
  2. H

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani - Ghati Z. Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
  3. H

    Ramadhan Kareem, Ghati Zephania Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara anawatakia Waislamu na Wananchi wote wa Mkoa wa Mara Mfungo Mwema

    Ramadhan Kareem Mhe. Ghati Zephania Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara anawatakia Waislamu na Wananchi wote wa Mkoa wa Mara Mfungo Mwema wa Ramadhan.
  4. H

    Mbunge wa viti maalum mara auliza swali kuhusu uwekezaji wa viwanda

    MBUNGE WA VITI MAALUM MARA AULIZA SWALI KUHUSU UWEKEZAJI WA VIWANDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Ghati Zephania Chomete, ameuliza swali bungeni akiishukuru Serikali kwa majibu mazuri yaliyotolewa pamoja na Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kumpa nafasi ya kuuliza swali. Katika swali...
  5. M

    TANZIA Munde Tambwe, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) afariki dunia

    Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa. Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa wa Tabora.
  6. kibori nangai

    Vigogo wa CCM na watoto wao wanajipongeza tuu na ubunge wa viti maalum

    Eeee nacheka kama mazuri Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba . Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee . Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
  7. M

    GE2025 Chama hakiwezi kupata viti maalum viwili, ni uongo

    Jamiiforums, Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili. Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo. IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge. Ukiwatoa wale wa kura za...
  8. DuaZaMama

    PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa. Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
  9. PAYE

    GE2025 ZEC yateua wajumbe 20 wa viti maalum wanawake

    Tume ya Uchaguziya Zanzibar, kufuatia kukamilika kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025; katika Mkutano wake wa Novemba 4, 2025, imefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Viti maalum vya Wanawake katika Baraza la Wawakilishi. Uteuzi huo umefanyika chini ya masharti ya...
  10. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea viti maalum Iringa: Ulitumia rasilimali za nchi kujali utu na uhai

    Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Iringa amesema Rais Samia atakwenda kuwekwa kwenye historia kwa kutumia rasilimali za nchi kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora za afya . Ameyaeleza hayo katika muendelezo wa kampeni kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025 ,ambapo amesema alama imewekwa kwa...
  11. Tlaatlaah

    GE2025 Mkeka: Uteuzi wa wanachama wa CCM watakaogombea nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Majimbo na Viti Maalum

    Chama cha mapinduzi CCM kinatarajia kutangaza wagombea ubunge wake waliopitishwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na hatimae kuthibitishwa na halimashauri kuu ya ccm taifa kugombea ubunge majimboni. mbivu mbichi kujulikana soon. TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM...
  12. Just Pray

    GE2025 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo achaguliwa kura za maoni nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo ameshinda nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara akipata kura 320 nyuma ya Ng’wasi Kamani mwenye kura 409 na Jesca Magufuli mwenye kura 409. Zoezi la upigaji kura lilianza rasmi mnamo Agosti 1, 2025 na kufikia tamati alfajiri ya leo...
  13. Just Pray

    GE2025 Morogoro: Walioshindwa kura za maoni ubunge viti maalum, wasema wamepokea matokeo kwa heshima na utulivu

    Watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Jane Mihanji na Hajra Mwikoki, wamesema wamepokea kwa heshima na utulivu matokeo ya kura za maoni zilizofanyika hivi karibuni. Kwa nyakati tofauti wamesema, licha ya kutoshika...
  14. Just Pray

    GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

    Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
  15. U

    GE2025 Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge

    Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa Tanzania bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 2, 2025, kwa upande wa Tanzania Bara...
  16. Just Pray

    GE2025 Keisha atupwa nje ubunge viti maalum Jumuiya ya wazazi

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, wamewachagua Najma Murtaza Giga (kutoka Zanzibar) na Dkt. Catherine Joakim (kutoka Tanzania Bara) kuwa wawakilishi wa Jumuiya hiyo katika nafasi za Ubunge wa Viti Maalum. Katika uchaguzi huo, aliyekuwa Mbunge...
  17. Just Pray

    GE2025 Mgombea ubunge viti maalum mwenye umri mdogo zaidi akiomba kura aahidi kuwasemea vijana kuhusu ajira

    Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Lightness Greyson Kihombo (23), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwania mojawapo ya nafasi sita kwa upande wa Tanzania Bara. Lightness, ambaye ni mgombea mwenye...
  18. Ojuolegbha

    GE2025 Agnes Marwa Awashukuru Wajumbe wa UWT Mara Julai 31, 2025 - Ubunge Viti Maalum Mara

    Agnes Marwa Awashukuru Wajumbe wa UWT Mara Julai 31, 2025 - Ubunge Viti Maalum Mara
  19. Mhaya

    GE2025 Mtangazaji wa Clouds TV "Kijah Yunus" aliyemchapa Maswali ya Uchonganishi Lissu mpaka wakazenguana, ateuliwa viti Maaalumu Lindi

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025. Majina yao yalisahauliwa kutangazwa katika orodha iliyotolewa mapema leo na kusomwa mbele ya waandishi wa habari...
  20. W

    Lucy Kombani na Sheila Lukuba waongoza kura ubunge viti maalum mkoa wa Morogoro

    Mchakato wa kura za maoni kuwapata wagombea ubunge viti maalumu kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani Morogoro umekamilika, huku Lucy Kombani akiongoza kwa kupata kura 1,314 kati ya kura halali 1,646 zilizopigwa, akifuatiwa na Sheila Lukuba aliyepata kura 597. Katika mkutano huo...
Back
Top Bottom