vitendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utulivu wa watanzania baada ya pause ya vitendo vya utekaji ni meseji kubwa kwa taifa .

    - Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa watanzania baada ya vitendo husika kukoma unatoa somo kubwa; -kwamba, watanzania ni wastaatabu, wasio...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake Mnapotongozwa Jifunzeni Kujibu Ndio au Hapana kwa Maneno na sio Vitendo

    Wanaume sisi ni watu tulio wazi sana kwenye hisia zetu tunapopenda na kutamani kitu chochote,ninapokupenda mwanamke nitakufata nitaanza ukaribu nawe kisha nitatafuta siku nitaomba tukae sehemu tulivu nzuri kwa ajili ya kumwaga yalio ujaza moyo wangu. Ajabu ni kwamba sisi baada ya kuwasilisha...
  3. D

    JamiiForums Tanzania BASATA yalaani vitendo alivyofanyiwa msanii Zuchu jukwaani

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani vikali kitendo alichofanyiwa Mwimbaji wa Bongo Flava, Zuhura Othman Soud cha Mashabiki kumtupia vitu jukwani katika Tamasha la Wasafi Festival lililofanyika Septemba 28, 2024 Mkoani Mbeya. Katika taarifa yake kwa Umma, BASATA imetoa rai kwa Wadau wa...
  4. JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  5. JamiiForums Tanzania Elimu ya Ukatili yawafikia wavuvi wa Mkuyuni, waonaofanya vitendo hivyo waonywa

    Dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza katika kuhakikisha linafikisha elimu juu ya vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika Jamii imetoa elimu kwa wafanyabiashara na wavuvi wa mwalo wa Mswahili Mkuyuni huku likiwaonya wanaofanya vitendo hivyo kuwa watachukuliwa hatua za...
  6. JamiiForums Tanzania Wanavyuo waambiwa watoe taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa Kijinsia na unyanyasaji

    Wanafunzi wa Shule za Sekondari, Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Mkoani Mbeya wamehimizwa kutoa taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" iliyofanyika Septemba 25, 2024 katika uwanja wa Ruanda...
  7. JamiiForums Tanzania Unaizungumziaje hotuba nzuri, muafaka na muhimu sana ya Kitaifa na Kimataifa ya Rais Samia?

    Rais alihutubia Taifa Jana.. Ilikua ni hotuba ya kuponya na kutibu maumivu ya fikra na kuleta ahueni na matumaini mapya mioyoni mwa waTanzania. Ni hotuba nzito na ya kimamlaka, ya kiongozi mkuu wa nchi mwenye nguvu sana, na yenye maelekezo muhimu mazito na ya maana sana kwa nchi, mataifa na...
  8. JamiiForums Tanzania Vitendo wanavyofanya Waarabu kwa timu zetu ni kukosa Ustaarabu

    Katika mashindano ya kimataifa, timu zetu zimekuwa zikishuhudia vitendo vya unyanyasaji na ukatili kutoka kwa wenyeji wao. Angalia timu nyingi ambazo zimekuwa zikinyanyasika kwenye mashindano haya, hali ambayo inatufanya tujiulize kuhusu kiwango cha ustaarabu walionacho waarabu. Kwa mfano, timu...
  9. JamiiForums Tanzania Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye swali hoja majibu utayatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu haki nchini Tanzania na falsafa ya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli anachukizwa na vitendo vya mauaji na utekaji vinavyoendelea mjini?

    Amesema anasikitishwa sana na mauaji na utekaji. Swali ni alijiuliza, kama ni kweli ilikuwaje akaurudisha kwa kumteua mtu mwenye tuhuma za kuondoa haki za watu kuishi? Mtu ambaye taifa kubwa lenye vyombo na taasisi kubwa za ujasusi lilimpiga marufuku kuingia kwao kwa sababu ya tuhuma za kuua...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa - Tekelezeni kwa vitendo falsafa ya 4r za Rais Samia

    06 September 2024 SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na sheria mpya dhidi ya vitendo vya ukatili kwa watoto

    Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Jeshi la Polisi linavyoendeleza vitendo vya kukikandamiza chama Cha Chadema, ndivyo wanavyokiongezea umaarufu

    Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha CUF, ambavyo vimepakwa rangi za bendera ya Chama Chao, ambazo alidai kuwa chama hicho Cha CUF...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi chana awasili ofisini, awataka watumishi kutekeleza 4R za rais samia kwa vitendo

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa mara nyingine Wizara ya Maliasili na Utalii. Ameyasema hayo leo Agosti 19,2024 aliporipoti katika...
  15. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Jeshi la Polisi Iundwe Upya!

    Maadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.) Ukatili, rushwa, Ushirikiano na waalifu, Upendeleo na kujiingiza kwenye siasa, Undugunization, kutokujua...
  16. JamiiForums Tanzania CCM kumchangia mil. 5.320,000/= Tundu Lissu ni dhahiri shairi kuwa CCM inaziishi 4R za Rais Samia Suluhu Hassan kwa vitendo

    Kalamu ya: Leah D. Mbeke Kutoka: CCM Makao Makuu Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti. Rais Samia Suluhu Hassan...
  17. JamiiForums Tanzania Nenda kokote uendako! Kipimo cha akili na utimamu wa mtu lazima akili na kuthibitisha kwa vitendo kuwa kuna Mungu

    Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu! Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini Yaanza Utekelezaji wa Programu ya Wakina Mama na Vijana (MBT) kwa Vitendo

    WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA WAKINA MAMA NA VIJANA (MBT) KWA VITENDO •Leseni 4 zakabidhiwa kwa kikundi cha Mshikamano Women •Waziri Mavunde awapongeza kwa kujenga Zahanati na kununua Ambulance •Aitaka Halmashauri ya Msalala kupunguza ushuru kwa wachimbaji wadogo •Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Mafunzo Kwa vitendo SOMO la 10 java programming language

    Tazama mafunzo kwa vitendo upate uelewa mzuri kama ulikuwa unafuatilia mafunzo ya Java Video ya SOMO la kumi imekuwa ndefu sana kutokana na umuhimu wa kipengele katika Java Programming Language na mafunzo ya software development https://youtu.be/AqaUHU3imSE?si=ob7fOQ4SsyhCcDCX
  20. JamiiForums Tanzania Mzazi/Mlezi: Unachukua hatua gani za kiusalama kumlinda mtoto wako dhidi ya vitendo vya kiunyanyasaji wa kingono?

    Habari! Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi). Kwa muktadha ule, wale vijana walifanya unyama sana kwa yule binti tena wakaona wamrekodi na kurusha katika mitandao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…