vitendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa vitendo vyake Je Raisi Samia ni mkweli au Muongo

    Kwa vitendo vyake Je Raisi Samia ni mkweli au Muongo. Wengi wanalalamika kwamba anayesema anasema kisiasa kuanzia 4R ni uongo, chaguzi huru ni uongo, Ripoti za mauaji ni uongo. Je ni kitu gani Samia kasema cha kitaifa na kimekuwa ukweli? Je tuna Raisi Muongo?
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  4. JamiiForums Tanzania Simba wasicheze mechi leo, kufanya hivyo itakuwa kubariki vitendo vya Yanga

    Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa. Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena. Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga. Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  6. JamiiForums Tanzania LHRC: Makazi ya watu Muleba yanabomolewa wakati kuna kesi Mahakamani, huu ni ukiukwaji wa Haki

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKEMEA VIKALI VITENDO VYA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KATA YA NGENGE, WILAYA YA MULEBA MKOA WA KAGERA Dar es Salaam 10, Februari 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimepokea taarifa za ubomoaji na uchomaji wa makazi ya watu katika Kata ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na mafunzo ya vitendo kwa jamii ili kukabiliana na majanga mbalimbali yanayotokea katika jamii sio tutegemee vitengo vya uokozi pekee

    Nashauri kuwe na masomo ya vitendo maalumu kwa jamii pia kwaajili ya kujiandaa na kukabiliana na majanga mbalimbali kama vile moto, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.k kwa mara nyingi masomo ya vitendo vya kukabiliana na majanga pamoja na vifaa vya uokozi huwa vinatolewa kwa asilimia kubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Jumanne Kishimba maono yako ya Elimu kwa vitendo yametimia. WanaJF tumpongeze

    Walihisi anachekesha katika hoja zake na michango yake bungeni lakini, alikuwa anaona huruma kwa vijana wa taifa hili kuhitimu vyuo na kupewa makaratasi ambayo kwa ujumla na ulimwengu wa sasa havina nafasi bali kazi za mikono ndio suluhisho la maisha ya sasa. Sijui kama Leo alialikwa kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

    CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Sera ya Viwanda kwa Vitendo

    Je, tunafeli wapi mpaka tunashindwa kuwa na viwanda vidogo vidogo vingi na vya kati maeneo mbalimbali ya nchi ikiwa tuna malighafi mbali mfano Chuma ili kuepuka kuagiza bidhaa za kawaida kutoka China mfano bidhaa za majumbani, spea za pikipiki, baiskeli nk. Inawezekana vipo huko mkoa uliopo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Erick Kabendera huenda kikafanya vitendo vya utekaji na mauji vikapungua kama sio kwisha kabisa

    Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT " Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Rais Samia Hassan -"SADC inatoa wito kwa pande zote Mozambique kujizuia na kujiepusha na vitendo vinavyozidisha ghasia na machafuko"

    Baada ya uchaguzi Mozambique: SADC inatoa wito wa kujizuia na mazungumzo ya "amani". 02 Januari 2025 Picha ya faili: AIM Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) jana ilihimiza kujizuia katika kukabiliana na maandamano ya baada ya uchaguzi nchini Msumbiji, ikitetea mazungumzo "ya amani...
  13. JamiiForums Tanzania Ajabu sana klabu yanga wanapotaka vitendo vya kihuni visitangazwe na kukemewa kwa kigezo cha uzalendo!

    Nimemsikia msemaji wa Yanga Ally Kamwe anasema DR Congo wamefanyiwa vitendo vya kihuni wamerogwa mchana kweupe washabiki wao wamepigishwa magoti na kuchomwa na jua kali, Kama msemaji wa yanga anasema vitendo hivyo vingefanywa kwa mkapa na klabu ya Yanga kwa kuwa waandishi wa tanzania hawana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania China wamjibu Trump kwa vitendo yapiga marufuku usafirishaji wa gallium, germanium kwenda Marekani

    China imezuia uuzaji wa madini muhimu ya gallium, germanium na antimony kwenda Marekani. Madini hayo yanatumika katika utengenezaji wa vifaa vya kielekroniki pamoja na silaha. Katika taarifa yake kuhusu zuio hilo,wizara ya biashara ya China imesema China imeamua kufanya hivyo kwa sababu za...
  15. JamiiForums Tanzania Ujue Mtazamo wa maombi kwa mkristo ambao utakufanya uwe mchapakazi na mtu wa vitendo vingi

    Isaya 65:24 Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu ameshakujibu tayari. Kwa hiyo, mfano ukitaka nyumba, badala ya kukesha na kufunga anza kuhulizia bei ya...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanakiri udhaifu wao kwa vitendo; Mbowe yuko busy anawajazia fomu wagombea wa CHADEMA uchaguzi wa serikali za mitaa

    mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo FRV. Gaspar E. Temba...
  17. JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Wakopeshaji wa mitandaoni hawajasajiliwa na BoT wala BRELA na uendeshaji wao umejaa vitendo vya udhalilishaji

    Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa watoa huduma ndogo za fedha wa daraja la pili, wanaotoa huduma za mikopo kidijitali. Agosti 19 mwaka...
  18. JamiiForums Tanzania Hezbolloh hawaongei sana wao ni vitendo tu

    Hizibollah hawana muda wa kuimba taarabu kwenye media kama Israel wao jukumu lao ni kuwachoma moto wanamgambo wa Israel pamoja na vifaa vyao na kuhakikisha wanabaki majivu.🔥 ⚡️Wreckage of an Israeli Humvee military vehicle after it was hit by Iranian-made Almas-3 special guided missile launched...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Katikati ya vitendo viovu, mauaji na utekaji, tuendelee kumsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, shalom!! Nitumie fursa hii kuwatia moyo ndugu zangu Watanzania wenzangu kuwa, haya tunayoyapitia ni ya Muda tu, kama ambavyo Kuna usiku mnene, Giza Totoro, tukumbuke kuwa Giza ni la muda tu, KUTAPAMBAZUKA na Nuru itaonekana tena, Kodi zetu ndizo zinatumika kuwalipa waovu Kuteka...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 25 bila Nyerere: Alikuwa Mjamaa. Je, tunamuenzi kwa vitendo na kumuishi, au ni kwa maneno matupu lakini matendo ni tofauti?

    Wanabodi, Leo tunaadhimisha miaka 25 bila ya Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, maadhimisho rasmi Silver Jubilee yanaendelea kule kijijini kwake Butiama, swali ni "Kwa Miaka hii 25 Bila Nyerere, kwa vile Nyerere alikuwa mjamaa wa kweli, je sisi Watanzania, tunamuenzi kwa dhati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…