vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  2. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Cement bei juu kwa sababu ya vita ya Ukraine na Urusi

    "...gharama za cement zimeendelea kupanda kila mara na hilo la vita ya Ukraine na Urusi ndilo limeongeza changamoto ya kupanda kwa bei..." "...nimewataka wadau waone namna bora ya kupunguza gharama kupanda mara kwa mara kwa maslahi ya wananchi wetu." Amesema Mwigulu. Nb: Tanga cement na...
  3. JamiiForums Tanzania UNICEF: Vita inayoendelea Ukraine ina athari mbaya za Kisaikolojia kwa Watoto

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeripoti kuwa vita inayoendelea Nchini Ukraine imekuwa na madhara makubwa kwa watoto, ambapo wengi wao wanahitaji msaada wa kisaikolojia. Watoto zaidi ya milioni moja wa Ukraine kwa muda wa miezi miwili wamekuwa katika mateso kutokana...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya Ream paper yapanda

    Vita ya ukraine imeendelea kuiumiza nchi ya Tanzania kwani karatasi toka china zimepanda bei kwa kasi ya kutisha almost asilimia 100, haijulikani kama stock iliyopanda bei inatoka Russia au ukraine au China nayo imeathirika na vita hivyo
  5. K

    JamiiForums Tanzania USA yakanusha kuhusika kuzamisha meli vita ya Urusi!!

    Pentagon has rejects reports claiming US intelligence was used in alleged Ukrainian strike on warship Moskva The US didn’t provide Ukraine with intelligence that allegedly allowed it to strike Russia’s Black Sea flagship Moskva off the coast of Odessa last month, Pentagon press-secretary John...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Putin: Kama mnataka vita iishe acheni kuipa Ukraine silaha

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mataifa ya Ulaya yanatakiwa kusaidia kumaliza vita dhidi ya Ukraine kwa kuweka shinikizo kwa Rais Volodymyr Zelensky na kusitisha kumpelekea silaha. Rais Putin amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye alikuwa akishawishi...
  7. JamiiForums Tanzania Vita ya Clatous Chota Chama Vs Pablo mmoja kuondoka SIMBA

    Tetesi kutoka msimbazi ni kuwa kiungo wa Simba,Clatous Chotta Chama na Kocha Mkuu Pablo Franco walirushiana maneno kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Aprili 30, 2022 katika mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga. Inaelezwa tukio ndilo lililisababisha Pablo kumtoa Chama na nafasi yake...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi yote 24 yatoa masharti yao ya kuacha vita DRC, na wenyewe wamechoshwa na mugomvi, wanataka kurudia maisha ya kawaida

    Wapo tayari kurudi mashambani na kwenye familia zao, kimsingi wahakikishiwe usalama wao. ================= The latest peace bid for the Democratic Republic of Congo’s troubled eastern region appeared headed for a solid footing after 24 armed groups gathered in Nairobi to express their...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza vita vya Urusi katika maisha ya kawaida

    1: Kabla sijaanzisha vita na mtu lazima nijue nani yuko nyuma yake. 2: Ukiwa huna nguvu sana jitahidi kushambulia mahala ambapo pataleta matokeo makubwa kwako na maumivu makubwa kwa adui kwa kutumia rasilimali chache. Ukraine wanapukutisha majenerali wa Kirusi. 3: Ukiamua kuingia vitani...
  10. JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo; Alikuwa pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia binti mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikuwa na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika. Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na...
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani atua Ukraine na aapa US kuisaidia Ukraine mpaka vita itakapoisha

    Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done' Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the Ukrainian president, Volodymyr Zelensky, in Kyiv. Ms Pelosi said Ukraine was fighting for everyone's...
  12. JamiiForums Tanzania Tabiri nini matokeo ya Vita vya UKRAINE na Hatma ya dunia

    Kwa mtazamo wangu 1: Hakutakuwa na WW3 2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha. Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake. 3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Vita ya Urusi Kama Magharibi Au NATO watalazimika kuhusika moja Kwa moja

    Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu Kabisa , vita wanaijadili kama Mpira kwamba yeyote anaweza kupigwa, Vita inajadiliwa kama hadithi za...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wakati Dunia ikielekea katika vita vikuu vya tatu (WW3) Bajeti ya Kilimo iongezwe na itekelezwe kwa vitendo

    Wasalaam Wakati sisi tukiwa na mipango ya miaka minne tu mbele ya maendeleo na jinsi itakavyokuwa nchi na sio dunia, wenzetu wa huko mbele huona miaka mia ijayo kuwa dunia itakuwa vipi? Hotuba ya juzi ya makamanda wa USA ilionyesha kabisa kwamba dunia si salama na dunia iwe tayari kukabiliana...
  15. JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Urusi yaharibu miundombinu ya reli kuzuia silaha za kigeni kuingia Ukraine

    Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow. Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
  16. JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine na kisasi cha USA kwa Urusi

    Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka Baada ya kupata mashambulizi mazito Toka Kwa ISIS(ISLAMIC STATE OF IRAQ AND SYRIA), kundi la kigaidi...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Marekani, unachokifanya juu ya vita ya Russia na Ukraine si kuanzisha vita 3 ya dunia, uko tayari?

    Kama ungekuwa na busara ungewaita Rais Putin na Zelensky meza moja kujadiliana namna ya kumaliza vita hii lakini umeamua kuwa upande wa Ukraine. Huu ni ujinga mkubwa sana, unachochea uanzishwaji wa vita vya tatu ya dunia. Uko tayari? Acha kiburi Marekani, ndiyo maana afande sele alikuambia ule...
  18. JamiiForums Tanzania Intelligence ya UKRAINE katika Vita hii imekuwa nzuri na yenye Ufasaha kuzidi ya Urusi

    Nipo nasoma soma taarifa fulani na kuzufanyia analysis, nikakutana na taarifa ya huyu Gen. Oleg Mityaev huyu alikua ni General wa 4 wa Russia kuuawa vitani Ukraine. Kufa kwa mmoja au wawili ni hali kawaida vitani, lakini kufa kwa Generals 9 si jambo la kawaida. Ikumbukwe, Russia iliteua...
  19. JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya Israel na Palestina na ni nani mmiliki halali wa eneo hilo

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama vita ya Ukraine ikiisha Leo hivi ndio Ukraine itakavyokuwa imebaki

    Inasikitisha sn nchi iliyokuwa na bandari yake wanalima wana export nje mazao leo kuanza maisha bila bandari, maana nnasikia puttin anataka kuunganisha huo mji wenye bandari uwe sehemu ya donbass.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…