vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dunia imeisha, Transgender ni mbaya kuliko vita vya Israel

    habari wana JF!! Leo kati pita pita zangu mtandaoni nikapishana na baadhi ya video za kichafu za transgender, nilisisimka mpaka ndevu sikuwahi kujua maana ya transgender. Hapo nazidi kuamini kuwa siku za mwisho zipo na masiha atarudi, video zile ni mbaya kuliko hata vita. GOOBYE JF,NAMRUDIA...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa shambulio hili la Israel basi vita baina yao ndio basi. Kila mmoja atamuheshimu mwenzake

    Lengo halisi la Israel inaonekana ni Rafah na ile kurusha droni tatu Iran ambazo zimedunguliwa ilikuwa ni kuzubaisha ulimwengu lengo halisi likiwa ni kuingia Rafah ikijua Iran haitaiuliza kitu. Huku watu wamecharuka kujadili shambulio la Israel lililotangazwa na US kwa upande wake Israel ndio...
  3. JamiiForums Tanzania Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran...
  4. JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua kama Godoro la Vita Raha ni bandia au halisi?

    Mwenye kujua ubora wa godoro tajwa hapo juu naomba aniambie mana na nikitaka kujua hili ni lenyewe au feki nagunduaje?
  5. JamiiForums Tanzania Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran, na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas, Hezbolla,Houthis na sasa Iran na itachukua muda mrefu sana katika operesheni zake katika miji ya...
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili.

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  8. JamiiForums Tanzania Mamia ya raia wa Israel waikimbia nchi yao ,hofu ya vita na Iran

    Kutokana na mgogoro mkubwa ulioibuka kati ya Iran na Israel pia uvamizi wa makombora na drones za Iran ndani ya ardhi ya israel kumekua na hofu kwa raia wa Israel hivyo kuikimbia nchi yao
  9. JamiiForums Tanzania Ikitokea vita ya maninja na makomandoo, upande upi utashinda?

    Usiseme huu ni utoto. Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000. Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa. Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Israel uchumi taabani, Vita si Lele mama

    1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao: 2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu? 3. Kwamba madeni ndiyo haya? 4. Wanaeleweka washirika waliojiapiza kusimama nao daima. 5. Kwa hakika ni kipi bora kuliko amani?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hii vita "SHKAMOO na "MAMBO" imekuwa ngumu sana

    Hii vita "SHKAMOO na "MAMBO" imekuwa ngumu sana Unaweza kukuta jinsia ya ke imejipodoa au tuseme imejitunza sana kufikia mahala ule uzee au umama hauonekani na unapokutana nae kwa mara ya kwanza ukimwambia "mambo" anaitika "poa" au anaweza asiitikie kabsa lkn mtu ambae anamfahamu kwa muda mrefu...
  12. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe. Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza. Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu...
  14. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Vita Vikuu vya Tatu (WW III) vya Dunia ni mdogo sana

    Pamoja na purukushani zinazoendelea sehemu mbalimbali za dunia za kuchokozana, kuvamiana na kubutuana siku za hivi karibuni uwezekano wa kutokea vita vikuu vya tatu vya dunia bado ni mdogo sana. Kwanza tukumbuke katika vita vya kwanza na vya pili vya dunia ambavyo chanzo chake kilikuwa ni ulaya...
  15. JamiiForums Tanzania Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Wanaukumbi. Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza. Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa. Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua. Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana...
  17. JamiiForums Tanzania Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    “Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania” Fiston...
  18. JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa sana na vita ya wenyewe kwa wenyewe mtandaoni baina ya makada wa CHADEMA. CCM itatawala kwa miaka mingi sana

    Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge...
  19. JamiiForums Tanzania Israel yatoa tahadhari kwamba Iran ikiishambulia, itakuwa mwanzo wa vita

    Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao. Ifahamike kwamba Israel imekua ikiitamani sana Iran, au taifa lolote linatumia ugaidi wa kiislamu kusumbua dunia. Hawa HAMAS sio...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

    1. Yamemkuta yanayo mstahili Natenyahu: 2. Yanaweza kuwapo makavu kuliko haya? 3. Kwamba: 4. Haya mengine ndiyo zile longo longo zisizotakikana: 5. Kama Beberu ndiyo huyu, kumbe kabaki na nini Natenyahu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…