vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Teknologia ya gene cloning na gene editing ni muarobaini wa vita dhidi ya HIV

    Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi. HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia ndio itayoleta mwanga wa kupambana na hiki kirusi, lakini kuna baadhi ya wanyama kirusi hakiwezi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Ayatollah Khomen kwa Israel Hawezi Mshinda vita Hezbullah

    Ayatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi kujua silaha za Hezbullah hata siku moja. Ujumbe ndio huo hapo kuna wajinga walisema Iran kamkimbia...
  3. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kwanini Israel hawezi shindwa vita mashariki ya kati?

    Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na hisia, naona ni ngumu sana isarel kushindwa vita sio tu na proxies group kama vile houth,hezobollah...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi pesa za silaha za vita palestina israel hezbollah zinatokea wapi jamani aisee

    Nikijaribu kuangalia Sudan Wanavyomalizana Congo wanavyomalizana Ethiopia wanavyomalizia Kule Chad nako wameanza kumalizana Narudi kwa vita vya Ukraine wanavyomalizana na Russia Nirejee Israel vs Palestine gaza na sasa vs Lebanon na wa hesbollah Nawaza ty hizi silaah zote zinatokea wapi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

    Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
  6. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Katika vita vya kibiashara vya Marekani na China, Mexico ndio anaibuka na ushindi mkubwa.

    Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu. Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani taifa la China lisingefika hapo ilipo leo kiuchumi. Sasa basi, wagombea urais wa vyama vikuu nchini...
  8. JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    Dunia ya sasa sio kama dunia ya miaka ya nyuma baada ya UN kuundwa. Mauaji yakitokea kwa waarabu au warusi dunia kimya. Lakini mauaji yakitokea kwa Israel au Marekani au Europe ukitoa Urusi utaona dunia itakavyolaani. Mwenendo wa dunia ishafikia wakati kila mtu anajiamulia kufanya jambo ili...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyejaribu kumuua Donald Trump alipigana kwenye vita vya Ukraine. Maswali mengi yaibuka

    Ryan Wesley Routh: Picha na Reuters. Shirika la upelelezi la FBI laendelea na uchunguzi wa jaribio la kumuua mgombea wa kiti cha uraisi wa Marekani bwana Donald Trump katika viwanja vya mchezo wa golf vya Trump internation Golf Course. Mtu aliejaribu kumuua bwana Trump ametambuliwa kwa jina la...
  10. JamiiForums Tanzania Hamas na Houth wasema wana uwezo wa kuendeleza vita na Israel kwa muda mrefu ujao.

    Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel. Msemaji huyo amesema wana aina 4 za makombora hayo ,lile walilorusha jana ni aina moja wapo tu kati ya...
  11. JamiiForums Tanzania Gueteres aliponda baraza la usalama la umoja wa mataifa. Aliambia limeshindwa kazi na limepitwa na wakati.Kigezo ni kushindwa kuzuia vita vya Gaza n,k

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

    Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi . Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin...
  13. JamiiForums Tanzania Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  14. JamiiForums Tanzania Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

    Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine. Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendani, Una deal vipi na vita ya kimya kimya ya mke, dada zako na mama yako?

    Ni vita ambayo wao hudhani hatujui ipo lakini huwa tunajifanya washamba mambo yaende, kwa wanaume wengine huwa hawajui haya mambo wanaishia kuharibu. Wanaume wengi wanavuta jiko pale mambo yanapoanza kukaa sawa panapokuwa na chanzo cha kipato, nguvu ya pesa inakuwepo unaanza kusaidia nyumbani...
  16. JamiiForums Tanzania Shambulizi la Urusi laua watu 41 Ukraine

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba shambulizi la Urusi limeua zaidi ya watu 40, na kujeruhi wengine 180, katikamji wa Poltava wa Ukraine. Rais Zelensky, ambaye anasema ripoti ya awali inaonyeshakuwa mji huo wa mashariki ulishambuliwa na makombora mawili ya ballistic yaUrusi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini vita waliyoianzisha Hamas huko gaza imefungua ukurasa mpya wa ufahamu na utapelekea kutimia kwa tabiri muhimu za biblia

    Nakusihi utumie muda wako kujielimisha kupitia mahojiano haya kwenye video hapa chini ambayo Zuby (gwiji aliyepata kumhoji Elon Mask) anamhoji Loay Alshareef, msaudia aliyezaliwa na kukulia Saudia ila kwa sasa amefanya makazi yake Abbudhabi, UAE. Highlights za mahojiano Zuby akiwa mtoto wa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiona BBC hawatoi tena habari za vita vya Urusi na Ukraine tambua Ukraine anachezea kichapo

    Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya. Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
  20. JamiiForums Tanzania Vita ya Starlink na Safaricom ni somo kwa kampuni za mawasiliano Tanzania

    Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi ya 50 Duniani kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…