vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania India yapoteza ndege 5 za kivita katika siku ya mwanzo ya vita

    Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo. Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan...
  2. JamiiForums Tanzania Kudadadeki Vita mpya kati ya Manara na Mwijaku imenoga

    "Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara. Chanzo Taarifa: manaratv Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna udini wala vita ta kidini haitakaa itokee. Sababu hizi hapa

    Asilimia 90 ya Watanzania ni vijana na Kati Yao asilimia 80 ni Gen Z. Gen Z hawanaga mambo ya dini. Mambo ya dini ni ujinga ujinga tu. Ni Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini, wadogo zetu wa tisini mwanzoni na kaka zetu wa sabini ndio tulikuwa na ujinga ujinga wa kufuata mambo ya dini kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania USA Wanataka Egypt Iwasaidie Kupigana na Al Houthi wa Yemen's

    Tuliwambia Al Houth au Yemen hakuna nchi inayo weza.kuwashinda vita. US alikwenda kichwa kichwa alidhani Yemen atatishika. Juzi Vice Presdent wa US kawapo offer tena offer ili wawache kushambulia Red Sea Al Houthi wakagoma. Trump analia eti Egypt wamsaidie kipesa walipe gharama au wasaidie...
  5. JamiiForums Tanzania Lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudishwa kwa mateka- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL) Waziri Mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Manara kapigilia pale pale kwenye Msumari wa Master Jay kuwa Alikiba ni mbana pua

    Toka miezi kadhaa tangu alikiba kuambiwa ni mbana pua na Master Jay, voice note zilizovuja zimeonesha Manara akigongelea msumari kuwa Alikiba ni mbana pua tu. Inaonekana Alikiba ana maadui wengi sana, ni kama vile kipindi kile Diamond alivyokuwa na maadui wengi. Utofauti wa Alikiba na Diamond...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mmeanzisha Vita na Vatican

    Hapa mlipofika ni pabaya. Mmeanzisha vita na Vatican, kanisa na wakatoliki na madhehebu ya kikristu na waislamu wenye napenzi mema na nchi
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe Pakistan ana nafasi kubwa kuichakaza India vita vikizuka. Modi hana nyenzo kuizuilia maji

    Kwa ujumla wake tukio la kuuliwa watalii wa ndani huko Pahalgam jimbo la Kashmir ni kitendo kilichopangwa kitokee muda mrefu tangu Narenfa Modi na chama chake cha BJP alipoingia madarakani.Lengo limekuwa ni kubadili ulinganifu wa watu wa maeneo hayo kuwapa nafasi zaidi wahindu dhidi ya waislamu...
  9. JamiiForums Tanzania Mashujaa wa Vita ya Kagera Wanaendelea Kulipwa Pensheni

    MASHUJAA VITA YA KAGERA WANAENDELEA KULIPWA PENSHENI Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema mashujaa wote waliopigana Vita ya Kagera na waliostahili malipo ya viinua mgongo na pensheni walikwishalipwa na wengine wanaendelea kulipwa kwa mujibu wa Sheria ya...
  10. JamiiForums Tanzania India Na Pakistan Zinaelekea Kwenye Vita ya Kikanda

    Taarifa iliyotolewa na maafisa Wa jeshi kutoka Pakistan na India wamerushiana risasi usiku kucha katika mstari wa udhibiti katika Kashmir inayozozana Umoja wa mataifa umewataka wapinzani hao wenye silaha za nyuklia kuonyesha "kujizuia kwa hali ya juu" baada ya mauaji ya Jumanne ya watalii wa...
  11. JamiiForums Tanzania Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

  12. C

    JamiiForums Tanzania Syrian Exhibition Vs Vita Syria

    1. Wa-Syria wana maonyesho kila kukicha. Sijui wanazalisha hizo bidhaa saa ngapi wakati Syria kinawaka kila siku. 2. Wabongo tunasubiri Teuzi tu na Mechi za Simba na Yanga Amani Tele ila hatuzalishi hata pipi
  13. JamiiForums Tanzania MAGA wa Marekani mwaka 1939 walipinga vita kama sasa hivi.

    Walipinga Marekani kuisadia Uingereza na mataifa mengine ya ulaya dhidi ya vita vya Adolf Hitler, watu wajinga wa hovyo wamekuwepo duniani nyakati zote ila wingi wao tu ndio huwa unabadilika.
  14. JamiiForums Tanzania Hii vita iraisha lini?

    HII VITA ITAISHA LINI. #HABARI Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema ameviamuru vikosi vyake kusimamisha shughuli zote za kijeshi nchini Ukraine, huku akitangaza "usitishaji vita kipindi cha Pasaka" hadi Jumapili. Kwa upande wake, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema Kyiv imezingatia...
  15. JamiiForums Tanzania Yamebaki majengo machache sana yaliyobaki wima Gaza. Sasa wanapiga mahema na vita havijaisha

    Ukiona jengo limesimama basi ujue limeshapigwa na limejaa nyufa na wakati wowote litabomolewa kutoka angani.
  16. JamiiForums Tanzania Watu 12 wafa kwenye vita vya kuku

    Kwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuw ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia.Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi. Watu 12 huko Ecuador wamepigwa risasi na kufa wakati wakishuhudia vita vya kuku. Seriakali ya nchi hiyo imeshawakamata watuhumiwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa najiuliza sababu ya vita kati ya Ukraine na Russia ni ipi? Majibu generated by Artificial Intelligence (AI) ni haya

    The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include: 1. Russia's desire for a sphere of influence: Russia seeks to regain control of Ukraine and prevent its integration into Western institutions, which it...
  18. JamiiForums Tanzania CHINA AMEKWISHA SHINDA VITA YA UCHUMI DHIDI YA MAREKANI : MAREKANI ALIKOSEA KUCHANGA KARATA

    CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina. Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania irudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili kukomesha ukoloni mamboleo

    Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema haidai Vita ila inadai Haki. Ni aibu Viongozi CCM kudanganya hatika hilo

    Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…