vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Haya ndiyo yanayoikuta Israel kuelekea kushindwa vita na Hamas

    Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli. Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita...
  2. J

    Tupige Vita Roho ya Yezebeli

    Tupige Vita Roho ya Yezebeli Yezebeli ni Nani Yezebeli alikuwa ni mwanamke mwenye asili ya nchi ya Lebanoni, mahali pajulikanapo kama Sidoni (1Wafalme 16:31), karibu sana na mji wa Tarshishi, ule mji ambao Nabii Yona alienda kuhubiri (akaacha kwenda mji wa Ninawi alioagizwa na Mungu). Alikuwa...
  3. Je, matibabu ya Kitanzania (Tanzania Treatment) ni utamaduni wa Kitanzania? Kwanini tunapiga vita ushoga?

    Watanzania wote waliotendewa vitendo viovu kama hivi kwa kawaida hukaa kimya na kwa aibu hawathubutu kusimulia kwa undani yaliyowakumba kwenye kinachodaiwa matibabu ya Kitanzania? Je kuna uwezekano kwamba watekaji pamoja na viongozi wanaowatuma kufanya hivi vitendo nao hupitia hayo matibabu ya...
  4. Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  5. Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  6. Ukraine yaharibu ndege vita za Urusi

    Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi. Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi SSB chini ya Budanov ni habari...
  7. Ukraine yaharibu ndege vita 40 za Urusi leo

    Ukraine imesema imekamilisha shambulio lake kubwa zaidi la masafa marefu tangu vita na Urusi kuanza, baada ya kutumia droni zilizosafirishwa kwa siri kushambulia kwa pamoja ndege za kivita takriban 40 katika kambi nne za kijeshi nchini Urusi siku ya Jumapili. Rais Volodymyr Zelensky alisema...
  8. Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine

    Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi. Bomu lenye uzito wa kilo 250 liliharibu jengo kuu la utawala la jiji hilo na kutandaza vyumba vitatu vya ghorofa. Tumewasili eneo hilo siku moja baada ya bomu kupigwa, lakini moshi bado...
  9. Next sesson NBC itakuwa ni vita kubwa ya timu pamoja na Mashabiki

    1.Bodi ya Ligi ni mkosa namba moja kwa kuacha kukemea maovu dhidi ya timu. 2.Namba 2 watakuwa ni viongozi(hususani wasemaji) itajihirisha vita ya Mashabiki na ndipo hapa serikali isipoingilia kati Mkunyugano utahamia kwenye Siasa. Mark my word.
  10. Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IntpG2fhmAE
  11. Ni rasmi Sasa Vita ya Urais 2025 imeanza

    Vita ni Kali mno watu hawalali Sasa wanaseti mitandao. Yule Unguja Yule Singida Yule Kigoma Yule Mara Yule Ruvuma Yule Tanga Tutasikia kila aina ya milio na miguno Nani kuibuka Rais wa Tanzania baada ya uchaguzi? Ogopa Sana nyoka alijificha chumbani. No reform no Election Ubaya ubwela!!
  12. FARDC yatakiwa kujiandaa vita dhidi ya M23

    Lt Gen Masunzu, amelitaka jeshi la serikali ya Congo, kujiandaa vita vipya, kuhakikisha M23 inapoteza maeneo iliyo nayo kwa sasa, mashariki mwa DRC. M23 na yenyewe haiko tayari kuachia. Huku ikisemekana inapata msaada toka Rwanda, upande wa serikali ya DRC, msaada wao wanapata kutoka Burundi na...
  13. Muhtasari wa Kiama Dakika kwa Dakika: Yatakayojiri Vita ya Nyuklia Kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Urusi Juu ya Mgogoro wa Ukraine

    Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo? Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
  14. Hakuna nyakati ambayo mwanamke alishindwa kuzishinda limitation za mwanaume. Kwa wakati huu hii ndio silaha yao na hakuna vita itakayowashinda.

    Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu tipwa tipwa 🤣 Najua Poor Brain anaelewa nachokimaanisha🤣
  15. Jeshi la Israel IDF linajitayalisha Na "shambulio Ambalo Halijawahi Kushuhudiwa". Tangau Kuanza Kwa Vita

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo hilo ukingoni mwa njaa. Jeshi la Israeli, ambalo limetangaza kuanza kwa operesheni mpya limewaonya...
  16. Vita kunyamaziana

    Mimi vita ya KUNYAMAZIANA Sijawahi lose kabisa ,, Ukijifanya bubu ,, Mimi najifanya marehemu kabisa 💯 #@mudytawaleni1802 ✍️
  17. Hamas hali ni tete baada ya Operation Gideon -Yasema itaachia nusu ya Mateka vita isimame kwa Miezi miwili washibe kwanza njaa mbaya sana. Washaona

    Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu kuzingatia masharti ya makubaliano yoyote, kufuatia kuachiliwa kwa Edan Alexander wiki iliyopita. Hamas...
  18. Kumbe mambo ya uwongo yalikuwa siku nyingi,Kipindi cha vita ya kagera mkuu wa mkoa anasema vita hakuna

    Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana. Wakati wananchi wanaona mpaka ndege za kivita zikishambulia. Usishangae mbunge babu tale kusema utekaji...
  19. Fahamu kwa undani vita kati ya CHADEMA vs CCM

    Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
  20. Wakomonisti wa JF walijua Trump anafeli hii vita ya makato wakati mwamba yupo Uarabuni anasaini deals tena kwa kuhumizwa

    Nyie muendelee kukubali kuchukuliwa tu vibanda vyenu vya umachinga na wakina jet li🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…