Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?
Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.
Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Hii ni kwenye mahojiano na Waandishi siku ya jana ambapo Rais Donald Trump alikiri kuwa changamoto ya kuishughulikia Iran sio rahisi kama wengi wanavyodhani kwani yupo kwenye hali inayomfanya ashindane na watu anaodai;
Trump analejerea ugumu wa vita ya Iran kwa hapo ilipofikia. Ni wazi Rais...
Kwa sasa waliokufa mo29 hawana mtetezi tena, kwasasa watu wamehama kabisa, wengiwao kwasasa wanawatetea watoto wa shule wa iran na kiongozi wao alieuliwa.
Kila muandishi wa habari kawa mchambuzi wa vita, na raia wote kwa sasa wamebebwa na upepo.
Nawashauri ccm hii nafasi ya kupumua walioipata...
Mashariki ya Kati yawaka moto
Tulijadili suala la vita mashariki katika nyuzi tofauti. Kwa umuhimu wa tukio linaloendelea uzi huu utajadili kwa kina nini kimetokea, kinatokea na kitakachotokea siku za usoni
Upo upotoshaji katika mitandao ya kijamii kwa makusudi au kutoelewa au kuelewa nusu...
Gaza flotilla ni msafara wa meli ulioandaliwa na wanaharakati wa kimataifa, mashirika ya kiraia, na watu binafsi wenye lengo la kupeleka misaada ya kibinadamu moja kwa moja kwa watu wa Gaza.
Umeungwa mkono na mataifa 16 ambayo yametoa wito wa kulindwa kwake na kuheshimiwa kwa sheria za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.