visingizio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wameanza kulialia na kutafuta visingizio

    Russia is helping Iran target US military forces, officials say Middle East Russia has shared intelligence with Iran that could help Tehran strike US warships, aircraft and other American assets in the region, according to two officials familiar with US intelligence – the first indication Moscow...
  2. Artificial intelligence (AI), Shetani, nyeto, na betting vinatumiwa sana kama visingizio miaka hii

    Eti, "Nyeto ndo imekufanya upungukiwe na nguvu za kiume", by Dr Ndodi. "Nilikuchiti kwa sababu shetani kanipitia", by my wife Lucha. "Hakuna watu waliouawa tarehe 29 October 2025, ile ni AI", Samuya. "Nilibeti nikashinda TSH 1,000,000 (kumbe kaiba pesa)", by kijana niliyemwajiri kwenye duka...
  3. Hakuna haja ya visingizio 👇👇👇

    Jasusi ni mpambanaji tokea miaka hiyo akikata mkaa huko kolomije hajawahi kupoteza pambano.
  4. M

    Yesu na manabii hawakushiriki siasa ila walikemea ilipoumiza watu, visingizio kanisa haligusi siasa ni kukosa upendo, ni kuvunja amri kuu ya Yesu

    Wasabato MPO ? Tag MPO ? Moravian MPO ? Eagt MPO ? Mwamposa mnasikia ?
  5. Waafrika tuache visingizio hoja zetu hazina mantiki , hao influencers wengi ni wapiga domo na hawana hata akili ya kuvukia barabara

    Habari wajameni Nimekuwa nikifuatilia mambo mengi haswa hawa pan Africans , kiukweli hakuna mwenye akili hata moja angalau Mwalimu nyerere alikuwa anaweza kujenga hoja na ikaeleweka .. Tuje sasa kuna kundi limeibuka huko ,wanapinga dini . Bila shaka sio kosa maana wako huru ila ukija kwenye...
  6. Ukifuta Namba Yangu, Niambie Ukweli – Usitoe Visingizio!

    Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote." Ukweli unaokoa muda na heshima! Je, unadhani ni sawa kufuta namba ya mtu bila taarifa, au ni muhimu kutoa maelezo?
  7. Mtego umewanasa, Yanga tukianza kushinda hatutaki visingizio

    Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k Haya yote yametokea...
  8. Dr Slaa:Chadema acheni visingizio hamkujiandaa uchaguzi wa Serikali za Mitaa msiwadanganye Wananchi.

    Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji. Katika kauli yake isiyo na kificho, Slaa amewapa somo Chadema, akiwataka wafahamu kwamba kwenda...
  9. Je, Yanga ameshuka Kiwango na kutafuta visingizio au ndio Propaganda za soka la Tanzania?

    Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
  10. Napinga LATRA kuwafungia KATARAMA kwa visingizio cha kuchezea kidhibiti mwendo

    LATRA wametoa taarifa kwa umma kuhusu kufungia leseni ya usafirishaji Abiria ya Kampuni ya KATARAMA kwa kigezo kuwa wanachezea vidhibiti mwendo. Sina tatizo na hilo. Ila kama ni kweli basi, naomba wawe fair kwa makampuni mengine pia, nilidhani Abood ya Bukoba na Mwanza wangekuepo, nilidhani...
  11. Tafadhali visingizio vifuatavyo hatuvihitaji Kesho tarehe 8 August, 2024 kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku sawa?

    1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi 2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure 3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere 4. GENTAMYCINE alishasema kuwa Mwamuzi ni Shabiki mwenzenu hivyo tulijua tu tutakufa 5. Tumeshachoka kila mara...
  12. M

    Wavaa vitenge mmeshamazaliza kucheza na wacheza Amapiano sasa hatutaki visingizio kuwa mlikuwa na uchovu wa preseason siku ya mechi ya ngao ya hisani

    Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani. UBAYA UBWELA
  13. PreGE2025 Tume Huru na katiba mpya ni visingizio. Fahamu sababu inayowazuia wapinzani kuingia Ikulu

    Je hii ndiyo sababu pekee?
  14. Yanga acheni kutengeneza propaganda na kutafuta visingizio

    Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo...
  15. Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

    Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo. Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
  16. C

    Visingizio hivi vya Kipuuzi na vya Kitoto hatuvitaki, tunataka Ushindi leo kwa Waarabu

    "Mabegi yetu yamechelewa kufika, tunahisi ni Hujuma na tumeshindwa kufanya Mazoezi na kuna Baridi Kali sana" amesema Kiongozi wa Yanga SC aliyeambatana na Timu huko nchini Algeria wanakocheza leo. Chanzo: Sports Extra Clouds FM jana Usiku Ninawatakia tu kila la kheri Waarabu.
  17. Hamas pambaneni acheni visingizio, la hamuwezi, nyoosheni mikono msione aibu!

    Magaidi wamekuwa walalamishi kwa visingizio kibao, eti IDF anapiga sana watoto na wake zao, kwa nini asiwapige wao tu? Wanasema hivyo, huku wakijificha sehemu ya watoto na wake zao, sasa wanataka adui yao akitupa bomu, likachague gaidi liliojificha kwa watoto na wanawake? Hii sjawai kuiona...
  18. Mrisho Mpoto ageuka mbogo, amdai Waziri wa Afya magari ya kubebea wagonjwa bila visingizio vya Covid ama vita vya Ukraine

    Msanii Mrisho Mpoto amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kutumia ukali kufikisha ujumbe kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu mbele ya Rais Samia na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kupokea Ripoti ya Utafiti wa Afya ya uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya kubebea wagonjwa...
  19. Yanga acheni visingizio, kubalini tu mmepoteza

    Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo. Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi kuhusu kwa mkapa napo mlifungwa kwa sababu ya figisu? Hizo mnazo ita figisu mbona zipo miaka na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…