visima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rafiki Electrical

    INAUZWA Vifaa bora vya umeme wa majumbani, minara, viwanda, pump za visima, n.k

    Je, Umekuwa ukijiuliza utapata wapi vifaa bora vya umeme kwa bei nafuu zaidi? Rafiki Electrical & Tech Solutions, Niwauzaji, wasambazaji na watengenezaji wa vifaa bora sana vya umeme wa Nyumbani, Minara, Viwanda n.k hapa Tanzania na Nje ya Tanzania. Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Narung'ombe na...
  2. D

    Spika Zungu aipongeza DAWASA kuchimba visima Ilala

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa maagizo ya Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso ya kuongeza vyanzo vya upatikanaji wa maji kwa uchimbaji wa visima virefu vya maji vitakavyo uunganishwa katika mtandao wa Mamlaka. Lengo ni kusaidia...
  3. T

    KERO Wakazi wa Nyegezi (Mtaa wa Mpambije Street na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji

    Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan katika mitaa ya Mpambije Street, Ellys na Kumalija, Nyegezi. Kwa kipindi kirefu...
  4. Llio 002

    Tunachimba visima na kufanya underground water survey kwa gharama nafuu

    Habari wana jamii forum,sisi ni wataalamu na wabobevu wa uchimbaji wa Visima vya maji kwa kutumia mitambo maalumu Tunachimba visima virefu na visima vifupi Pia tunafanya Underground water survey ili kufahamu kama eneo lako lina maji,kama yapo jee yapo umbali gani na wapaswa kuchimba kisima cha...
  5. tonicimmobility

    DAWASA yaanza fufua visima kupunguza nakisi ya maji Dar es salaam

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kufufua na kuhuisha visima virefu vya maji ili kupunguza nakisi ya maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani. Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameyasema hayo siku Ijumaa Desemba 12, 2025 katika...
  6. Mad Max

    Mnaochimbiwa visima Dodoma mnapigwa sana. Ni ngumu sana visima vyenu kudumu miaka zaidi ya mitano!

    Wimbi la makampuni feki yake kuchimba visima jijini Dodoma (na mikoa mingine) limekua kwa kasi sana, kutokana na changamoto ya maji na kasi ya ukuaji wa mji. Sasa kushindana bei, wengi wao wasiowaaminifu wameanza uhuni na ujanja ujanja, ambao madhara yake hayataonekana ndani ya siku 2 au mwaka...
  7. visima_0678955834

    0678955834 uchimbaji wa visima mashambani na majumbani

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  8. V

    Tunachimba visima vya maji

    Je, unahitaji kuchimba kisima cha kisasa cha maji safi na salama? Kama uko Dar es Salaam, tumekupa picha tu ya water table na kina cha mita kwa maeneo tuliyochimba visima. Feri_ kigamboni mita 50 Kisota _Kigamboni mita 70 Geza_Kigamboni mita 70 Dege_Kigamboni mita 60 Mbutu...
  9. wachimbajivisimavirefu

    0762484200 WACJIMBAJI VISIMA VIREFU MIKOA YOTE

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  10. wachimbajivisimavirefu

    Wachimbaji visima virefu na vitupi mikoa yote

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  11. V

    Asanteni wadau kwa kutupa kazi ya kuchimba visima vya kisasa

    Juzi site engineering wa wells technology alipokea simu ya mdau baada ya kuona kazi zetu humu JF ilikuwa ni ya kijana mjasiriamali wa kilimo cha kisasa huko Mlandizi Pwani alikuwa anahitaji kisima cha kisasa cha umwagiliaji wa uhakika Basi tukamshauri tufanye survey kujua geological information...
  12. wachimbajivisimavirefu

    Wachimbaji Visima katika Mikoa yote

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  13. wachimbajivisimavirefu

    Wachimbaji visima mikoa yote

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya...
  14. wachimbajivisimavirefu

    0762484200 WACHIMBAJI VISIMA MIKOA YOTE

    Karibuni Sana 1. Utafiti wa maji chini ya ardhi (Underground water prospecting) 2. Uchimbaji na ujenzi wa visima vya maji (Borehole / water well drilling and Constructions) 3. Upimaji kiasi cha maji kwenye visima na vyanzo vya maji kwa ujumla (Yield testing /Pumping test for the water wells...
  15. wachimbajivisimavirefu

    0762484200 wachimba visima mikoa yote

    Karibuni Sana 1. Utafiti wa maji chini ya ardhi (Underground water prospecting) 2. Uchimbaji na ujenzi wa visima vya maji (Borehole / water well drilling and Constructions) 3. Upimaji kiasi cha maji kwenye visima na vyanzo vya maji kwa ujumla (Yield testing /Pumping test for the water wells...
  16. Tlaatlaah

    Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  17. DR HAYA LAND

    Kwa sasa Makanisa na misikiti inatosha , ikiwa kuna taasisi inahitaji kutoa Msaada wa kujenga Kanisa na Msikiti hiyo pesa wajenge visima vya maji

    Kwa Tanzania tuna misikiti Mingi na makanisa mengi Sana . Na ukiangalia idadi ya watu wanaosali bado ni Chache Sana . Ikiwa tutaangalia mahitaji hasa ya jamii tunaweza kubadilisha matumizi ya hizo pesa. Mfano wafadhili ambao hujitolea kujenga misikiti na makanisa , jaribuni kufikiri hilo...
  18. V

    Wachimbaji visima vya maji safi

    ✍️KARIBUNI SANA Wells technology wachimbaji visima vya maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu wanyama na mimea Leo tutakupa hatua FUPI za kufata KABLA HUJACHIMBA KISIMA Cha kisasa ✍️hatua ya kwanza ni geophysical survey yaan utafiti wa maji ardhini katika eneo lako hapo atakuja mtalaam na...
  19. upupu255

    PreGE2025 NIRC yaanza utelekelzaji wa uchimbaji visima 67,000 vya umwagiliaji, nchi nzima

    Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imeanza utekelezaji wa uchimbaji wa visima virefu 67,000 vya maji kwa ajili ya kiliko cha Umwagiliaji nchini. Lengo ni kuhakikisha kuwa Taifa linaondokana na kilimo cha kutegemea mvua na kuwa na uhakika wa maji kwa ajili ya kilimo na kulima zaidi...
  20. Pfizer

    Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Nchini, imeanza uchimbaji wa visima virefu 67,000 kwa ajili ya kiliko cha Umwagiliaji

    NIRC YAENDELEA NA UTELEKELZAJI WA AHADI YA RAIS SAMIA KUCHIMBA VISIMA 67,000 VYA UMWAGILIAJI,NCHI NZIMA 📍Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita, kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imeanza utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uchimbaji wa visima virefu 67,000 vya maji kwa...
Back
Top Bottom