viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

    Kwa hasira kali! Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba. Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mmeshindwa na hamtaki kukubali kuwa mmeshindwa...simple!!

    Kanuni IPO wazi kabisa, wanaohusika watawajibishwa, HII YA KUSUSIA MCHEZO hapana sijaiona kwenye hizo kanuni Tuseme labda ni UOGA??, inawezekana na pia ni njia ya viongozi kujikingia kifua, isionekane kuwa wamefeli kwa mara nyingine, wanataka kuvuta vuta kamda ( hii game Simba ilitakiwa ashinde...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ruvuma: Mwenyekiti CCM, viongozi wa chama acheni kuanzisha migogoro inayochonganisha wananchi na serikali

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amewataka viongozi wa chama hicho ngazi ya kata,tawi mpaka shina kuacha tabia za kuanzisha migogoro katika jamii ambayo inawachonganisha viongozi wa serikali pamoja na wananchi. Hayo ameyasema wakati anaongea na viongozi wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uduni wa akili ya Mwafrika: Kuna viongozi wa matawi ya Simba & Yanga nchi nzima wanachangisha hela eti ' kucheza mechi'

    Kucheza mechi maana yake ni kumpa mganga hela aroge mechi timu yako ishinde. Watu walivyo kuwa na akili duni wanatoa kabisa hela zao yani. Waache kuroga mechi wachezaji ambao Simba na Yanga zinawalipa mamilioni uende ukaroge wewe ambae hupati chochote kutoka timu hizo? Hiyo ni akili ama...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Dola ya CCM hukubali Siasa za Makundi, Kuwaondolea Watanzania Viongozi wazelendo, wachapakazi Kwa hoja ya "Ana Makundi"?

    Ukweli ni kua Mbingu na Ardhi ni vitu viwili tofauti . Uovu na Wema ni vitu viwili tofauti . UZALENDO na kutokua mzalendo ni vitu viwili tofauti. Hata hivo Licha ya utofauti huo, ukweli ni kua Kila kimoja wapo nyuma yake kuna Wafuasi wengi . Hamna kitu kinaitwa huyu yupo katikati, Hana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna mahali viongozi wa nchi yetu wanatukosea Sana wananchi

    Nawaza tu hivi Kuna umuhimu gani kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zilizopo mjini kutumia magari ya m,amia ya mamilioni, Maeneo Mengi ya mjini miundo mbinu ni rafiki kwann mkuu wa wilaya na mkurugenzi wawe na mav8 ya nini, gharama ya kuyanunua na kuyatunza hawaoni ni kubwa saana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndolezi Petro: Viongozi wasiochaguliwa na Umma hawawajibiki ipasavyo

    Mwanachama wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezi Petro amesema wanamuunga mtu yeyote anayekuja na hoja ya mabadiliko kwa sababu viongozi wasiochaguliwa na umma huwa hawawajibiki ipasavyo. Ndolezi ameyasema hayo katika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Unakuta waziri mwizi, katibu mkuu mwizi ukimbana kwenye wizi anasema wewe huipendi CCM

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani...
  9. JamiiForums Tanzania Wanachadema walalamika kutoshirikishwa kabla ya viongozi makao makuu kutoa kauli ya "no reform, no election", wasema demokrasia imesiginwa

    Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao. Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha. Wadau hao wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

    Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Viongozi wa Serikali Waache Unafiki wa Kujifanya Wanapambana na Ufisadi?

    Katika nchi nyingi za Afrika, hususan Tanzania, viongozi wa serikali mara nyingi hujifanya wanakemea ufisadi lakini kwa uhalisia hawawezi kupambana nao. Huu ni unafiki wa kisiasa unaolenga kuwahadaa wananchi. Zifuatazo ni sababu kwanini viongozi waache tabia hii. 1. Wananchi Wanaanza Kuzinduka...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hawa viongozi wetu wa Afrika, nani kama Zelensky alivyowekwa mtu kati Pale white house

    Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu Zelenskyy kuvaa suti White House ila sio viongozi wengine?

    Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani! Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Makonda na Gambo ni matokeo ya kukosa viongozi wanaochukua hatua

    Kuna wakati unajiuliza mbona kama hatuko serious? Inawezekanaje viongozi wakawa wanafanya mambo ya kipuuzi na hawawajibishwi? Hili ni tatizo. Inasemekana Ulega aliwahi kuwaita akawapatanisha, lakini kwa hatua iliyofikia ilitakiwa hatua zichukuliwe ili huu ugonjwa tusiendelee kusambaa. Wapo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Susan Kaganda Balozi mpya wa Tanzania - Zimbabwe, Prof. Sanga apewa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.amefanya uteuzi wa viongozi watatu. Ambapo katika uteuzi huo ameweza kumpangia kituo cha kazi Suzan Kaganda kwenda Nchini Zimbabwe. Hi hapa taarifa ya ikulu👎
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wasusia intro ya maombi ya viongozi wa dini kuomuombea Rais Samia, wajitokeza wao na bodyguards wao!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia. Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa AFC/M23 Bukavu, wanusurika kuuwawa na uongozi wa DRC

    Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia Drones, kwa bahati mbaya zote zilidunguliwa kabla hazijafika zilikokuwa zimeelekezwa. Siku mbili...
  18. JamiiForums Tanzania tukikosa ubingwa tutasingizia jiesiem

    Simba tukikosa ubingwa viongozi Wana kichaka Cha kujificha. Na tulivyo mapanganga viongozi watatuaminisha huu ujinga nasi tutaamini. Kuna namna viongozi wetu wanatudharau sana na kutuona hamnazo. Ifike muda watuachie timu yetu
  19. JamiiForums Tanzania Ndolezo Petro: Kuendelea kuwakamata Viongozi wa NETO ni kuvunja Katiba ya Uhuru wa Kujieleza

    Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO. Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Afya za viongozi: Lissu, Samia na Mpango punguzeni uzito wa mwili

    Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…