viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuzipita maendeleo nchi wanazoziongoza

    Hivi hii imekaaje unakuta mtu ni waziri ama mbunge anakuwa na maendeleo makubwa kwelikweli kuliko hata nchi yake Hebu tazama watu kama Lowassa jinsi walivyo mabilionea wakati maskini wanazidi kuongezeka kila kukicha hapa danganyika Kwa nini mbinu wanazozitumia kujiletea maendeleo binafsi...
  2. JamiiForums Tanzania Tribute to William Ole Nasha: Alikuwa Miongoni Mwa Viongozi Wachache Bonafide Genuine Wazalendo wa Kweli waTaifa Hili. RIP Comred William Ole Nasha!

    Wanabodi, Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko19

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko – 19 pamoja na kushiriki katika sensa inayotarajiwa kuanza mwaka 2022. “Niwaombe viongozi wa dini kujumuisha masuala ya sensa kwenye mahubiri yenu, kawaida serikali ikitoa...
  4. JamiiForums Tanzania Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

    Wanabodi, Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini vyombo vya habari/ waandishi wa habari Tanzania hawawezi wauliza viongozi maswali tunayoyatarajia?

    Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari... 1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!? 2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
  6. JamiiForums Tanzania Mkutano wa UN ni gulio la kununua viongozi wa nchi zinazoendelea

    Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria mkutano. Wakubwa wanachojali pale sio ulipatikanaje kuwa Rais wa nchi yako, bali nitapata nini kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi mliohudhuria mkutano wa UN rudini nyumbani na mikakati, msirudi na suti

    Kuona ni kuamini, think globally and act locally. Tunaomba viongozi wetu wa bara la Afrika tuliowasafirisha kwenda New York kwa kodi zetu kuhudhuria mkutano mkuu wa Baraza la Dunia, UN mrudi nyumbani na mipango mkakati ya kuboresha maisha ya watu wenu. Sina shaka kila kiongozi aliyekwenda New...
  8. JamiiForums Tanzania Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

    Tafsiri isiyo rasmi; Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema; "....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali wa viongozi unahujumu mahusiano na raia

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano (siyo tukio halisi) Mazoea ya kuwa na ulinzi mkali wa Askari wenye sare na bunduki kwenye ziara za viongozi na operesheni za kitaifa kama mitihani ya taifa na uchaguzi mkuu yamezua jambo nchi moja ya Afrika Mashariki iliyogundua mafuta na iliyo katikati ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mtaguso wa Washington DC kati ya Rais Obama na baadhi ya Viongozi wa Dola za Afrika

    Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Mnamo Agosti 4 - 6, 2014 US ilikuwa na mkutano baina yake na baadhi ya viongozi wa Afrika kujaribu kufufua mkataba wa AGOA (African Growth and Opportunity Act) ambao kimsingi ni sera ya Marekani...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Afrika hawatumii KQ kwenda UN

    Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja. Kuna shida gani kuwaunga mkono QK na kuonyesha mshikamano wa kiuchumi wa waafrika
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa Viongozi wawili

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) akichukua nafasi ya Nyakimura Muhoji ambaye amestaafu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huu mgawanyo wa Kimajukumu wa hawa Viongozi Waandamizi wa Yanga SC Kitaalamu unaitwaje?

    Yanga SC ikiwa inafanya vyema Wazungumzaji Wakuu ni 1. Injinia Hersi Said 2. Haji Manara 3. Mshindo Msolla Yanga SC ikiwa inafanya vibaya Wazungumzaji Wakuu ni 1. Haji Mfikirwa 2. Hassan Bumbuli 3. Haji Mfikirwa Nitashukuru mkinijibu ili nijifunze zaidi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye majina ya viongozi wa tume ya uchaguzi Tanzania atusaidie kuna tatizo

    Kabla ya CV niombe kufahamu tume ya uchaguzi ina ofisi yake tofauti na jengo walilojengewa juzi kabla ya uchaguzi 2020? Lakini pia ningepata CV yao tuone wajumbe wake Wana uzoefu gani tofauti na kufanya kazi ofisi ya umma ikiwemo ofisi ya president? Nauliza cv kwa sababu wanayofanya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote wa Yanga na mdhamini GSM waondoke. Manji rudi utuokoe, mmetutia aibu

    Tumefungwa tena na kutolewa katika mashindano ya ligi ya mabingwa ya Afrika baada ya kufungwa tena 1 bila hivyo matokeo kuwa Rivers United 2 Yanga 0. Viongozi wote wa Yanga inabidi wajiuzulu na mdhamini GSM aende zake,wanachama na wapenzi tumwombe shujaa wetu MANJI ARUDI KUTUDHAMINI. Sababu...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la yanga ni viongozi wale wale ndio maana Matokeo yanabaki yale yale

    Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka. Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer. Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, wazee na viongozi wa CCM mmemsusia mama?

    Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita. Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule...
  18. JamiiForums Tanzania Wanayofanya viongozi wetu wakifikiri wanakomesha sauti za haki

  19. M

    JamiiForums Tanzania Kilichopangwa kutokana na Hujuma ya N-CARD dhidi ya Simba SC katika Simba Day ni hiki... Viongozi wa Simba SC muwe makini

    1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato makubwa. 2. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC amkeni upesi kwani mnahujumiwa na N-CARD ili Tiketi zisumbue Mtandaoni na Uwanja usijae Jumapili

    Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila Kona ni Malalamiko ya Tiketi Kusumbua. Wewe Waziri ( mwana Yanga SC ) na uliye na Dhamana na Wizara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…