viongozi wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  2. M

    Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  3. S

    Simba haina beki wa maana hadi sasa hivi, muda bado upo viongozi wangu

    Tumepata beki msauzi lkn hatuna uhakika kama atazima kweli isije ikawa kam yule beki mwili jumba kutoka Sudan akawa anachekesha tu. Mabeki Chamou na Hamza tulikuwa nao msimu uliopita, wana mapungufu mengi mnoooo. Hamza hana mbio halaf wakat timu inashambuliwa yeye anatembea Hamza akiona...
  4. ngara23

    Coach Fadlu Davids alimhitaji Balla Conte, viongozi wa Simba wana Imani na Kagoma

    Uzembe wa viongozi wetu wa Simba. Leo Balla Conte amesaini Yanga Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi Viongozi wao wanahitaji Kagoma Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
  5. S

    Viongozi wa Simba mkimsajili Yahya Zayd na Sospeter Bajana, nitawaunga mkono msimu ujao

    Hakuna mchezaji yoyote wa kigeni mwenye uwezo wa kumshinda Yahya Zayd, kiungo fundi kabisa wa chini, hakuna hakuna hakuna, Mkimsajili Yahya Zayd nitaamin mko serious Ila zingatien aliyowaambia Gentamycine, pini zimejaa ndani ya timu yetu
  6. M

    Viongozi wa Simba mkipeleka timu halafu ifungwe goli 5. Maama yangu weeeh

    Wakati mashabiki wengi wanasema timu isicheze. Sasa nyie pelekeni lakini muombe Mungu Simba ishinde tu. Itokee ifungwe mtawaeleza nini mashabiki wu
  7. Z

    Kwanini Viongozi wa Simba SC Wanatudharau mashabiki na wanachama wao kiasi hiki?

    Kiukweli viongozi wa Simba wanatuona mashabiki wao ni wajinga na hawatujali kabisa. Achana na matukio ya kutupiga viingilio takribani mechi tatu. Ila hili la mechi ya dabi ndio limedhihirisha kuwa wanatudharau sana mashabiki wao. Juzi walituambia kuwa mechi ya dabi ipo 15 juni na hivyo...
  8. MwananchiOG

    Baada ya Kulamba viingilio vya mechi dhidi ya Berkane, Viongozi wa Simba waingia mitini na kuwaacha mashabiki wao yatima kuhusu derby

    Kwa sasa, baada ya kuliwa pesa za viingilio vya mchezo wao ambao walifanganywa kwamba ungechezwa kwa Mkapa, Mashabiki wa 5imba wametelekezwa na viongozi wao na hawajui wasimamie wapi kuhusu hatma ya mchezo wa derby. Baada ya kutoka barua zaidi ya mbili, moja ikisisitiza mchezo wa tarehe 15 June...
  9. ngara23

    Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  10. M

    Viongozi wa Simba wanatutapeli,wametuuzia tiketi za fainali kwa Mkapa, ila wanakataa hazitumiki fainali Zanzibar tununue mpya, zitatumika tu Simba day

    Habari wadau. Naona viongozi wanatuchezea mchezo wa kutupiga hela. Mwanzo Wametuuzia tiket kwa ajili ya fainali ya shirikisho caf kwa mkapa. Mchezo umehamishiwa zanzibar ila hawataki kuruhusu tiket hizo hizo walizotuuzia za fainali tukazitumie kuingia zanzibar kuchek fainali. Wanasema...
  11. Dennis Robert Shughuru

    Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi 👇👇👇👇👇👇👇👇 Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
  12. The introvert

    Dhana mbovu iliojengwa na mashabiki pamoja na viongozi wa Simba

    DHANA!!! Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana. Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali. Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni...
  13. M

    Viongozi wa Simba muache kujichanganya na kucheza na akili za mashabiki wenu!

    Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa! Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar! Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako...
  14. Mpigania uhuru wa pili

    Viongozi wa Simba kwa maksudi walianza kuuza tiketi ilihali uwanja ulikuwa umefungiwa na hawajapewa go ahead

    Ni mambo ya hovyo sana yaani unaanza kuuza tiketi kinyemela ilihali hujapewa go ahead ya uwanja kufunguliwa Tunafahamu uwanja ulifungiwa na jumapili maafisa wa CAF walikuja kuukagua kabla hawajatoa majibu simba kwa maksudi wakaanza kuuza tiketi ilihali hawajapewa go ahead Viongozi wa simba...
  15. Waufukweni

    KERO Responded Tukio la viongozi wa Simba Queens kuwashambulia waamuzi baada ya Sare na Mashujaa Queens halivumiliki, mamlaka zichukue hatua

    Wakuu! Hii haikubaliki Mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake kati ya Simba Queens na Mashujaa Queens hapo jana (Mei 12) ilizua taharuki baada ya kumalizika kwa sare ya mabao 2-2. Baadhi ya Viongozi wa benchi la ufundi, Simba Queens walianzisha vurugu na kuwavamia waamuzi, wakipinga baadhi ya maamuzi...
  16. DELETED ACCOUNT

    Angalizo: Viongozi wa Simba wajihadhari sana na siasa

    Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC. Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza katika mitego ya kisiasa. Ni jambo moja kuishukuru serikali kwa mchango wake wa hapa na pale katika timu...
  17. Brain Kingdom

    Viongozi wa Simba SC kwanini Deborah, Awesu, na Nouma, wanaanza Bench kila Mechi?

    Uongozi wa club ya Simba SC tafadhari huyu kocha wenu tutamzomea kuna sababu gani Deborah, Awesu na Nouma wanaanza Bench kila Mechi, inaumiza sana mechi zinazohitaji hao wachezaji kocha anafanya mchezo. Tusipofika fainali lawama mtazibeba kwa haya machungu yetu inatia hasira sana huyu kocha...
  18. Tajiri Tanzanite

    Tunaomba viongozi wa Simba wafanye mpango Simba ikacheze ligi kuu ya Misri

    Hapo vip!! Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe. Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za wivu,za kishetani ,za kijinga,za kimaskini na kipumbavu zilizopo kwenye ligi yetu ambazo...
  19. R

    Napata wasiwasi Yanga wanaweza kuchukua kombe mara ya 4 mfululizo, Simba hatupo serious kwenye usajili, usimamizi wa fedha na siasa za mpira

    Leo nimeangalia mechi ya Yanga nikitarajia kuwepo na upinzani mkali baada ya sakata lilotokea siku chache zilizopita nikitegemea Tabora watadraw au kushinda nikiwa na shauku ya Simba kurudi kileleni. Nilichokiona wanachokifanya Yanga nimejikuta napata wasiwasi na hofu, Yanga ame dominate vibaya...
  20. M

    Waziri wa Sanaa na Michezo Palamagamba Kabudi kukutana na viongozi wa Simba, Yanga, TFF na Bodi ya Ligi Alhamisi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga ili kutatua mgogoro unaoendelea kuhusu kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba...
Back
Top Bottom