📺 Una King'amuzi cha CANAL+ na hujui wapi pa kulipia?
Usiwe na wasiwasi! ONE TECH tupo kwa ajili yako 💪
Tunatoa huduma zote zinazohusiana na CANAL+ ikiwemo:
✅ Kuuza dekoda mpya
✅ Kulipia vifurushi kwa urahisi
✅ Ushauri na msaada wa kiufundi
🎉 Kwa Tsh 47,000 au 51,000 tu, unaweza kulipia...
Kwa mfumo wa sasa wa malipo ya ving’amuzi vya TV, kifurushi cha mwezi hukatika baada ya siku 30, bila kujali kama mtumiaji ametazama TV kila siku au la. Hii inamaanisha kuwa hata ikiwa mtu hajaangalia TV kwa muda mrefu ndani ya mwezi huo au hata mwezi mzima, bado atalazimika kulipia kifurushi...
Salamu kwenu waungwana wa JF. Kusema ukweli imefikia hatua traffic polisi wetu wawapo kazini hasa barabarani kuwa kero na usumbufu usio kuwa na sababu.
Kila baada ya km 1 au 2 unakutana na traffic zaidi ya 4 au 5 na kila mmoja yuko busy kutaka kukusimamisha ni kama vile wanafanyiana timming ya...
Kuna mantiki gani Kiongozi wa Serikali kukaa Mbweni na kazi anafanya Posta?
Kwa mfano Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wangekuwa wanatumia hata Chopa kama ile ya Chadema.
Kumekuwa na foleni sana kuanzia Africana hadi Palm Beach kwa sababu ya kuwasubiria wao wapite.
Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu wa...
Kwani mnatuchukulia sisi poa, kwani itawagharimu pesa ngapi kututangazia kuwa tozo zimerudi kwenye malipo ya ving'amuzi?
Leo nimefanya malipo kulipia king'amuzi risiti iliyorudi imeonesha nimekatwa Ada na Vat... au kuna tatizo kwenye uandishi wa hiyo risiti..
Kama kuna yoyote aliefanya malipo...
Kuna vifaa vingi vinavyoingia tanzania kwa vile wapo sababu ya kukusanya pesa ndani ya chama ila ndio tatizo.
Niliagiza ving'amuzi ambacho unalipa kwa mfumo wa crypto kinafanya channel zote dstv na azam ili mradi tu kuwa na dishi yenye masafa uweelekeo.
bado nasisitizia dola tutaisikia mtaani
Ndugu wahusika kumekua na usumbufu mkubwa kwa kampuni zilizopewa tenda ya kufunga ving'amuzi kwa magari ya Transit.
Bei hazieleweki, mtu akiamka ataviuza kwa 60,000/ siku nyingine mpaka inafika 80,000/ system zake zinasumbua, mda mwingine havisomi kwenye system.
Vinaleta usumbufu sana kwa...
Kama wenye mabasi hawana udhibiti wala utambuzi wa ufanyaji kazi wa ving'amuzi vya LATRA kwenye magari yao, ni vipi kuwajibishwa wao kwa mapungufu yoyote kwenye vifaa hivi?
Bila shaka hawa pamoja na kufungiwa wakiwa wamelipia vibali, kodi, bima na tozo zote husika, faini nzito nzito zitakuwa...
Naomba ku-declare interest kuwa mimi ni mdau wa safari (abiria) wa mara kwa mara 75% nikiwa natumia bus.
Niliwahi kuandika kuhusu "uhuni" wa kile kinachoitwa ving'amuzi kwenye mabasi.
Leo hii mabasi mengi yaliyosajiliwa kuanzia 2020 hayajafungwa ving'amuzi au vipo na havifanyi kazi! Mabasi...
Awali, Mkurugenzi wa JamiiForums aliulizwa swali na mtangazaji wa EATV kuwa, mwaka 2020 alisikika akisema kutakuwa na mawasiliano bila kuhitaji line za simu, mtangazaji akasema inawezekanaje mtu kupata mawasiliano, kulipa bills nk bila kuwa na line za simu?
Akijibu swali hilo Mkurugenzi...
SIFA ZA KING'AMUZI CHA CANAL+
1. Bei ya decorder pekee ni Tsh 130,000/=, bei ya decorder na dish(complete) ni Tsh 165,000/=.
Vyote hivi vitakuwa na kifurushi cha Tsh 40,000/= kwa mwezi mmoja bure.
2. Kupitia hicho kifurushi cha kuanzia utafanikiwa kuangalia mechi za ligi zote kuanzia EPL, La...
Wakati tozo za benki zikiwa bado moto, tozo za ving'amuzi inaanza rasmi Septemba 1 kwa Dstv kutangaza gharama mpya ya vifurushi. Hakika hatupumui.
PIA SOMA
- BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi
---
DStv Wapinga na kutoa...
Wakuu, natumaini mko poa kabisa!
Naomba kujua bei za ving'amuzi vya Azam kwa sasa, vya antena na dish. Naomba pia kujua kama vitapanda bei hivi karibuni?!
Ahsanteni.
Tanzania ni moja ya nchi ambazo huduma za kununua na kulipia ving'amuzi zinafanyika kwa kasi sana, hasa baada ya ushindani kuongezeka miaka kadhaa nyuma kutoka kampuni moja ambayo ilitawala soko kupata ushindani kutoka kwenye kampuni mpya zilizoanzishwa hasa moja ambayo ukuaji wake umechangiwa...
Wakuu habari za saa hizi,
Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri?
Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
Ni ukweli usio na kipingamizi kua king'amuzi cha Azam ni kati ya vingamuzi vinavyopendwa Tanzania na pia nchi kadhaa za Africa Mashariki, lakini bei yake imekua gumzo sana mtaani kiasi cha kuzua maswali je ni nini hasa kinapelekea bei kua kubwa kiasi hicho.
Kwa mkoa wa Iringa Mbeya na Njombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.