vinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Iwambi

    Viwanja vinauzwa Iwambi, vipo viwanja 15 @ sq 25000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  2. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbeya mjini

    Viwanja vinauzwa Mbeya mjini. Kila @25,000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  3. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Goba kulangwa viwanja vinauzwa

    Viwanja vinauzwa Goba kulangwa Viwanja vimepimwa hati bado. Kutoka lami Kilometer 1.5 Viwanja vina ukubwa tofauti tofauti. Vipo vichache *SQM 1,000 mil 45 *SQM 800 mil 36 *SQM 700 mil 32 *SQM 600 mil 27 *SQM 900 mil 41 *SQM 550 mil 25 *SQM 490 mil 23 *SQM 1500 mil 68 *SQM 2000 mil 90 *SQM...
  4. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Kigamboni Dege

    Kwa maelezo zaidi na kuona viwanja, wasiliana nasi. 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  5. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Nyumba na viwanja vinauzwa

    NYUMBA INAUZWA MKOA: Dar es Salaam, Tanzania WILAYA: Kinondoni MAHALI: Bunju Beach, Moga NYUMBA INAUZWA KAMA ILIVYO BEI: TZS Milioni 550 MAONGEZI YAPO UKUBWA WA KIWANJA: SQM 1600 UMILIKI: Ina hati safi NYUMBA KALI SANA INAUZWA SIFA ZA NYUMBA: Vyumba 4 vikubwa vya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Fremu ya biashara vinauzwa Mwanza

    MAHALI; Mwanza mjini kati UKUBWA: Fremu moja ila ukubwa kama wa fremu mbili pamoja na ubaraza mkuubwa Biashara zinazofaa katika hii fremu ni zile kubwa kubwa kwa sababu frem ni kubwa na ina ubaraza mkubwa....mfano vifaa vya ujenzi, restaurant, salon kubwa, mapambo ya ndani, na nyinginezo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Viti vinauzwa

    Habari wadau.. Viti vipo 10 Vinapatikana DAR Bei 40000 kila kimoja. KARIBUNI SANA!
  8. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia. Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji! Whatsapp/piga 0784355775 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
  9. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia. Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji! Whatsapp/piga 0685308583 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
  10. D

    JamiiForums Tanzania Viti vizuri kwa ajili ya garden vinauzwa

    Habari wakuu Kwa wanaopenda viti vizuri basi viti hivi vitakufaa Sana kwa ajili ya bustani yako au baraza yako. Bei ya kuuzia ni Shilingi 120,000/- Vipo Dar Es Salaam ila popote unaweza kutumiwa vikakufikia. Karibuni
  11. M

    JamiiForums Tanzania SOLD: Viatu Vinauzwa

    Hallow JF habari zenu Natumaini mko sawa Kama kichwa cha Uzi kinavyosema Viatu Vinauzwa, ni vizuri havina mushkeri yoyote bado ni vipya havijatumika sana, bei ni Tsh 15000 tu ila maelekezo ya maelewano yapo, Karibuni sana Size no 38 Bei 15000 tu Jinsia kike
  12. Jay_255

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza na kiti vya ofisini vinauzwa

    Meza kubwa na kiti kisichozunguka Vizima havina shida yoyote Bei 120,000 (vyote kwa pamoja) eneo vilipo Tabata kwa mkuwa 0711707070.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Tabata Segerea

    Rejea kichwa cha habari apo juu kuna viwanja ambavyo vimekatwa vinauzwa vyenye Square mita 500 kila kimoja eneo ni zuri na viko karibu na shule ya secondary ya The new ambassador..kutoka viwanja vilipo mpaka kufika uwanja wa ndege wa JK nyerere ni dakika 5 tu..
  14. A

    JamiiForums Tanzania MASHAMBA /VIWANJA VYA MAKAZI NA UFUGAJI VINAUZWA MAENEO YA YOMBO MPERA, UMEME UPO.

    Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka milioni 3.maeneo yapo YOMBO MPERA WILAYA YA MKURANGA.KARIBUNI SANA.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

    Habari wadau. Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake. Kwa kitanda peke yake bei 130,000 Godoro bei 80,000 Meza bei 50,000 Namba ya simu 0754 003 715
  16. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Oven la kisasa lenye jiko la gesi na mtungi wa gesi ya Orxy vinauzwa

    Oven la kisasa lenye jiko la gas na mtungi wa gas orxy vinauzwa kwa haraka mno .... pesa ya haraka inahitajika.. Dukani hilo jiko ni 560,000/= cc tunauza 380,000 tu
  17. D

    JamiiForums Tanzania Grinder mashine na welding machine vinauzwa

    Habari wadau. Mali tajwa hapo juu zinauzwa. Bado zipo katika hali ya upya maana zimetumika mara moja tu na baada ya mradi kukamilika hazihitajiki tena hivyo nataka kubadilisha walau nirudishe pesa kidogo zinisaidie kwenye mambo mengine. Kwa mwenye uhitaji namkaribisha sana. Grinder Angle...
  18. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Mbutu Kigamboni km 22 kutoka ferry.

    Viwanja vinauzwa Mbutu Kigamboni vimebaki viwanja 7 tu kwenye mradi. Ni mbutu mbele ya dege eco village uelekeo wa baharini(mita 400) kutoka baharini). Viko barabarani barabara iendayo kichangani. Ni km 22 tu kutoka ferry. Bei ni shilling elfu 25 kwa square meter.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya kwanza lami Dar road mtumba vinauzwa sqm 5229 bei mil 145

Back
Top Bottom