vigogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Vigogo CHADEMA wadaiwa kukiuka amri ya mahakama, wafunguliwa kesi

    : Katika hali isiyotarajiwa, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaweza kujikuta kwenye wakati mgumu baada ya uwepo wa taarifa zinazodai kuwa wamefunguliwa kesi nyingine ya jinai kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakidaiwa kukiuka...
  2. L

    Vigogo wengi walikuwa maskini, walipopata makalio yakalia mbwata

    Hali yenu ipoje wandugu zangu? Kwa kweli, nikirudi nyuma mpaka era ya JPM, na nikirudi nyuma mpaka era ya Nyerere, napata picha kamili Wengi wa wakazi (high government seniors) walioishi yale maeneo ya Upanga na Oysterbay ndiyo walioongoza kwa kutumbuliwa na JPM. Why? Sababu kuu ni ubinafsi...
  3. kibori nangai

    Vigogo wa CCM na watoto wao wanajipongeza tuu na ubunge wa viti maalum

    Eeee nacheka kama mazuri Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba . Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee . Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
  4. tonicimmobility

    GE2025 Kesi ya vigogo CHADEMA kukiuka amri ya Mahakama leo Oktoba 28

    Kutoka kwenye chumba namba tatu (3) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Oktoba 28.2025 kesi ya kukiuka amri ya Mahakama inayowakabili viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche inaendelea. Soma pia: Kesi...
  5. R

    Baada ya Wenje, naona wameisha, Bado Mbowe sasa. Au mnasemaje kuna " vigogo" bado Chadema watahama?

    Bado Mbowewe. Namshauri Mbowewe asifanye hivyo. Bado akitubu na kumrudia Mungu anaweza akawa na mawazo chanya. Najua haitajiki na walio wengi, but time heals! Akienda CCM ni uchuro! Ya Chauma yameisha....DEAD ALREADY
  6. mwanamwana

    GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  7. BigTall

    DOKEZO Kuna dalili 'Vigogo' wanajigawia bila kufuata taratibu eneo la Tanganyika Packers kipande cha ufukwe wa bahari

    Nawasilisha hoja yangu ambayo nimekuwa nikitafuta muda wa kuileta hapa jukwaani kama dokezo, ili kama mamlaka zitakuwa na uwajibikaji, vifuatilie hususan idara yetu na TAKUKURU. Kama tunavyofahamu, eneo la Tanganyika Packers lililopo Kawe, Dar es Salaam, kwa sasa linamilikiwa na Serikali ya...
  8. A

    DOKEZO Haya ndiyo madudu yanayofanywa na Vigogo wa Afya Halmashauri ya Mji Korogwe, Tanga, Serikali ichukue hatua

    1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao. 2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba wa dawa katika Hospitali ya Mji Korogwe. 3. Kudai 10% pindi Mtumishi anapohamishwa kutoka kituo...
  9. Ryan Holiday

    Kivuli cha Tuhuma Kinachowakabili Baadhi ya Vigogo wa CCM

    Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania 1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco. 2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba ya Richmund, Dowans, Symbion, na mingineyo; 3. Ufisadi wa kutisha uliofanywa na kigogo wa CCM huko...
  10. Kekule Wa Benzene Ring

    Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  11. S

    Kuna clip ya dada mmoja anaelezea kifo cha Mwendake, mazingira yake na kuna vigogo kawatuhumu kwa kuwataja majina

    Kuna clip ya Dada mmoja anaongea kwa hasira kuhusu mazingira ya Mwendazake kufariki huku akitaja baadhi ya vigogo anaowatuhumu kuhusika akiwepo Mstaafu mmoja. Hii clip bila shaka ni mpya na ni wazi wa nchi hii kuna mambo mazito yanaendelea. Kwakeli nimeshangaa sana na sidhani huyu dada kama...
  12. Mhaya

    GE2025 Vigogo wa CCM Waliopita bila Kuwa na Wagombea wenza ndani ya chama au bila kupingwa mchujo wa kuwania Ubunge uchaguzi mkuu 2025

    Hawa ndiyo Wabunge waliopitishwa bila kupingwa kuwania kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa hawakuwa na wapinzani wowote kutoka ndani ya chama hicho. Wamepitishwa moja kwa moja kutokana na kukosekana kwa wagombea wengine waliotia nia katika...
  13. S

    Tetesi: Vigogo 3 wa CCM wajipanga kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM

    Polepole ameamsha hasira miongoni mwa wanaccm walio wengi. Na hivyo kupelekea vigogo 3 kujipanga kwenda mahakamani kuzuia uteuzi wa mgombea urais kwa madai kuwa mchakato haukufuata katiba, kanuni na taratibu za chama chao. Endapo shauri hilo litafunguliwa, kuna uwezekano mkubwa CCM ikafuata...
  14. K

    Kwanini Samia anaondoa vigogo wote wa juu🧕🤦🏾‍♂️

    Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa Makaumu wa Raisi Mpango Waziri Mkuu Majaliwa Spika Ndugai
  15. T

    Tetesi Baada ya uchaguzi 2025 vigogo watakoma kuingilia maamuzi ya idara

    Kuna kila hali tangu JPM atutoke viongozi wenye nguvu kwenye mfumo wamekuwa wakitumia nguvu na ushawishi wao ku diverse mapendekezo ya idara jambo sasa limekuwa ni hatari na kitisho cha usalama maana idara inafanya kazi ngumu kulinda uhai wa taifa na ukisha waingilia hawa jamaa na kuweka siasa...
  16. GenuineMan

    Hawa vigogo wamechukua Fomu Ubunge.??

    NAomba kufahamu political status ya hawa waheshimiwa. 1. Job Yuston Ndugai 2. Bashiru Ali 3.Paramaganda Aidan Mwaluko Kabudi 4. Joyce Ndalichako 5.Mzee Mkuchika 7.Dorothy Gwajima.
  17. Comrade Ally Maftah

    Mashine ya kukata Nyasi, Kiti na Vigogo vinauzwa

    TUNAUZA GRASS CUTTER MACHINE. Hii ni mashine ya kisasa ya kufyekea majani/nyasi fupi na ndefu ■Hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo Kubwa. ■Licha ya kulevel bustani pia inaweza kupalilia mashamba. ■Inauwezo wa kuvuna mpunga. ■Huokoa gharama na nguvu kazi. ■Inakuja na majembe yake yote...
  18. TheGreatest Of AllTime

    Cha ajabu kuhusu huu ukata mkali ni kwamba vijana wenye tabu wanazidi kutaabika zaidi ila wenye uwezo wanazidi kuwanyonya wenye tabu

    Ndio ile unasikia mtu anafanya internship miaka 6 and out of no where anaambiwa na HR "kwa sasa hivi kampuni inapitia msoto wa kifedha kwa hio hatutaweza ku-afford kukuajiri, kwa hio kila la kheri ila nafasi zitakapo tokea tuta ku-consider wewe wa kwanza" Unaambiwa hivyo kumbe nafasi yako...
  19. kipara kipya

    Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  20. G

    Kwa kuwa Lissu ameamua kufunguka, naomba aulizwe:- je, ni kweli Wabunge 19 waliosheheni wake wa vigogo wa CHADEMA walijipeleka bungeni?

    Pamoja na covid-19 kubeba uongozi wa juu wa BAWACHA, lkn pia Kuna:- 1. Mke wa Benson Kigailla.....naibu katibu mkuu bara. 2. Mke wa Salum Mwalimu (naibu katibu mkuu Zanzibar). 3. Mke wa Ally Bananga (yuko ccm sasa).....alikuwa meneja kampeni wa mgombea urais wa chadema. Bila shaka kama Mnyika...
Back
Top Bottom