viewers

Viewers Choice was a Canadian English language pay-per-view (PPV) and near video on demand service. It was owned by Viewers Choice Canada Inc., which at the time of its closure was majority-owned and managed by Bell Media, with minority partners Rogers Media and ESPN Inc., and had been carried by various cable and IPTV service providers, primarily in Eastern Canada.
Launched in September 1991, Viewers Choice was the first pay-per-view service permitted to operate in Eastern Canada (a counterpart in Western Canada also used the Viewers Choice brand name for several years), and was the sole English-language PPV provider in that region until 1999. However, it shut down on September 30, 2014, as the service's two main owners at the time, Bell and Rogers, had each gained full ownership of a competing general-interest PPV service (Vu! and Sportsnet PPV respectively). Viewers Choice said it would be working with its remaining partner service providers to transition to other pay-per-view services.

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nguvu ya Umma: Harmonize ashusha video yake huko Youtube baada ya raia kususia kuitazama na kuambulia viewers wachache

    Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana. Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
  2. Common Folk

    Hivi CCM mmeshajiuliza kwanini mnapata viewers wachache kwenye live zenu, mnashindwa hata na Polepole

    Na kwa ground msingetoa usafiri na vi tip vya hapa na pale kama chakula na posho mngepata watu wachache mpaka mshangae. Na mkumbuke Polepole huwa hatoi taarifa mara nyingi kwenye live zake, huwa anaibukanl tu lakini anapata viewers wengi kuwashinda. Hata ukiangalia ile overall views, bado...
  3. Common Folk

    Leo "Live" za mikutano ya kampeni ya CCM huko mitandaoni hazifikishi hata Viewers 100

    Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani. Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
  4. J

    Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

    Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best enewei
  5. Samia atosha tukutane2030

    Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  6. and 998 others

    Africa Magic Viewers Awards (MVCA) Tanganyika tumeangukia pua

    1. Sijaona awards wala msanii/ Sanaa toka Tanganyika kwenye MVCA. Kazi za sanaa mmeingiza siasa. Kimataifa mtapasikia Tu. 2. Kenya na Kiswahili chao cha kuunga wananyakua awards kama zote (Hata zile za Kiswahili Achilia Kiingereza ambacho hatukiwezi. **Pole Mrisho Moto, pole Doto Magari
  7. Carlos The Jackal

    Bungeni liko Live, Online TVs Viewers hawazii 100 Kwa Kila TV , TUNDU LISSU Yuko Live, Online TVs Viewers ni zaidi ya 2k Kwa Kila TV

    Hata kama mtafumba macho na kuweka pamba masikioni , Ukweli utabaki palepale .
  8. Return Of Undertaker

    Magufuli: Spika (Ndugai) wadhibiti wanaoropoka Bungeni, wakija mtaani tuta-deal nao! Nafuu wakalale wanyamaze...

    Kama rais anatoa agizo kwa Spika tena muhimili mwingine kuwa awafukuze huko bungeni kwenye kinga ila waje mtaani ili wakisema ata deal nao kwa namna anayoona inafaa hii inamaanisha nini? Kudeal nao kivipi? 1. Bila shaka kutumia polisi kwa kuwakamata na kuwafungulia kesi zikiwemo uchochezi na...
  9. Mad Max

    Konde Gang wananunua viewers au ndio Ibra mkali?

    Nimeona Ibra ametoa video ya wimbo Jipinde, YouTube masaa 16 yaliyopita views Mil 1 hadi sasa (Saa 5 mchana tar 19-08). Hizo views Mil 1 vijana wa WCB Mbosso na Rayvanny wametumia week nzima kuitafuta.
  10. Kasomi

    YouTube Yafuta viewers kwenye wimbo wa Harmonize

    Mtandao wa YouTube wenye makao makuu yake Marekani. Umefuta baadhi ya viewers kwenye wimbo wa ATTITUDE wa msanii Harmonize aliyo mshirikisha Msanii wa Zamani H. Baba pamoja na msanii wa Lumba kutoka nchini Congo Awilo Longomba. Utaratibu wa kufuta Viewers hua upo katika mtandao wa YouTube...
Back
Top Bottom