vidonda vya tumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mayova

    Msaada wa matibabu ya vidonda vya tumbo

    Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu.
  2. Robert Mbathane

    Vidonda vya tumbo

    Chanzo Kikuu: # Maambukizi ya bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) chanzo chake ni matumizi ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu kama Aspirin, Ibuprofen, Diclofenac). # Dalili zake ni pamoja na:- Maumivu ya tumbo sehemu ya juu. Gesi Kujaa tumboni au kuvimbiwa mara kwa mara. KuWa na...
  3. A

    MUONGOZO KHS VIDONDA VYA TUMBO NA H-PYLORI

    Habari za mchana wana jamvi naomba kuuliza vidonda vya tumbo na hylori ni vitu vinavyotegemea?namaanisha kwamba unaweza kupima h-pylori hlf kwenye kipimo iko iko doctor akagundua una vidonda vya tumbo?
  4. M

    Dawa ya vidonda vya tumbo kwa wale wanaosumbuliwa.

    Hii dawa ni ya kienyeji! Hii dawa imesaidia watu wengi na vidonda vya tumbo kwao imebaki historia. Ni dawa ya maji kwa mgonjwa ambae vidonda vina muda mrefu atapaswa kupata doz 2 mpaka 3 na kwa mgonjwa ambae vidonda havina muda mrefu mwaka mmoja kushuka chini atatumi dozi 2 tu. Bei ya dozi...
  5. Technophilic Pool

    Je, vidonda vya tumbo vinaua? Nasikia watu wanasema vinaua bado hainiingii akilini

    Wakuu nipeni update vidonda vya tumbo vinauwaje?? mi sijui mechanism Au kama kuna evidence za watu kufa Na kama kuna Mtu alishawai pona completely
  6. L

    Dawa ya vidonda vya tumbo

    Jana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia Kwahiyo ndugu zangu kwa wale mnaohangaika na gas, vidonda vya tumbo mnaweza kufika pale muhimbili na...
  7. Right Marker

    Wanawake wengi wanapata vidonda vya tumbo kwasababu ya stress nyingi

    Stress zinazowakumba wanawake wengi ni stress zifuatazo; 1. STRESS ZA MAREJESHO YA VICOBA. Wanawake wengi wanacheza Vicoba vingi kuliko uwezo wao. Wana madeni na marejesho ni makubwa. 2. STRESS ZA MICHEZO YA KUTOANA. Wanawake wengi wamejiunga na vikundi vingi vya kupeana pesa/kutoana ambavyo...
  8. A

    Je, unaweza ukawa una vidonda vya tumbo na usipate maumivu ya tumbo?

    Mambo vipi wana jamvi, naomba kuuliza, kwa uchache sana. Hivi unaweza ukawa una vidonda vya tumbo halafu usiumwe na tumbo? (usipate maumivu) kama ni ndio naomba kwa ufupi sana dalili nyengine za vidonda vya tumbo
  9. D

    Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

    Habari ndugu zangu. Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu. Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili...
  10. M

    Anayesumbuliwa Na vidonda vya tumbo tafuta majani yanaitwa mashona nguo

    Habari za Leo wakuu, Haijalishi vidonda vyako vimefika hatua gani au umekuwa ukisumbuliwa kwa muda gani, unaweza kutumia tiba ya asili kwa majani ya mashona nguo. Haya ni yale majani ambayo huwa yanatoa vimiba vidogo vya rangi nyeusi vyembamba, ambavyo huweza kunasa nguo unapopita karibu nayo...
  11. matunduizi

    kwa nini siku hizi watu wengi wanaumwa vidonda vya tumbo na UTI kuliko miaka ya 2000 kurudi nyuma?

    Ukichukua watu kumi wa mjini ni nadra sana kukuta kati yao hakuna mmoja ambaye hasumbuliwi na vidonda vya tumbo. Mara ya kwanza nasikia kuna ugonjwa unaitwa UTI ilikuwa 2008 kwa mdau wangu mmoja jijini DSM. Cha kushangaza miakq ya hivi karibuni imekuwa kama fasheni hasa vijana wa kike na wa...
  12. Introvert Music

    Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
  13. G

    Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya, ongezeko la vidonda vya tumbo na bawasiri husababishwa zaidi kwa kupuuza ama kula kidogo mboga za majani

    Sikuhizi imekuwa kawaida sana watu kula ndizi, wali, ugali huku mboga ikiwa ni maharage, nyama, mchuzi, n.k. bila kutumia mboga za majani aina ya chakula maarufu chenye nyuzi kama figili, mchicha, n.k. kama ipo inakuwa ni kiasi kidogo sana ukila tonge mbili za kipimo sahihi habari imeisha...
  14. Introvert Music

    Hivi njegere na mbaazi zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    kichwa Cha habari
  15. Scared

    Nyama ya utumbo na ugali vinafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, ugali na nyama ya utumbo wa ng'ombe kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo inafaa au haifai? Wakuu naombeni mnijulishe.
  16. DryEyes

    Msaada: Niligundulika na tatizo la vidonda vya tumbo, dozi niliyopewa imeisha lakini sijapata nafuu

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina kidonda kwenye utumbo mkubwa Doctor alisema ugonjwa nilio nao unaitwa chlons disease. Nilipewa dawa...
  17. S

    MSAADA: Nahisi ninashida kwenye mwili wangu. Vidonda vya tumbo, hofu, wasiwasi na uoga vimeniandama mno

    Wakuu poleni na Majukumu na tuendelee kupambana, nimekuja kwenu kijana wenu nipate msaada wa changamoto inayonisibu kwa sasa. Nmeugua vidonda vya tumbo tangu mwaka jana nligundulika baada ya kupata maumivu makali sana sehemu ya kifuani upande wa kushoto (sehemu ya moyo) nilipata vipimo na...
  18. Scared

    Wadau naombeni msaada, nina kiungulia

    Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa kinaachia na mgongo kuuma mwili hauna nguvu. Je, nitumie nini niweze kurudisha energy maana Kuna muda...
  19. K

    Maajabu ya maji ya kunywa katika kutibu Vidonda vya Tumbo na Bawasiri

    Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu, Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri. Tatizo la vidonda vya tumbo,kwangu lilikuwa ni la zaidi ya miaka mitano ,licha ya kujitahidi kutumia dawa...
  20. Scared

    Je njegere zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    Wadau naombeni ushauri he njegere zinafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo Kwa wanaojua msaada
Back
Top Bottom